Hongera kwa wote walioamua kuoa

Life is one big party when you're still young
But who's gonna have your back when it's all done
It's all good when you're little, you have pure fun
Can't be a fool, son, what about the long run?

~ Shaggy - Angel
images (1).jpeg
 
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni

Aisee kulala na mwanamke kitanda kimoja ndani ya wiki moja tu sio mchezo yaani kwangu mimi ni kero ya hali ya juu sana na inahitaji uvumilivu wa kiwango cha mwendo kasi!

Imagine kwa wanaoishi na wake kitanda kimoja miaka na miaka wanastahili tunzo aisee

Mwanamke akilala kwangu siku mbili tu naboreka! Napenda zaidi short time sipendi kulala tumebanana kama jela.


Hata mimi nilidhani sitaweza aiseee ila nilikuja kuZoea..

Kuwa busy sanaaa muonane asubuh kdg na usiku saa 2:30 kuendelea na weekends.Asikupe na stress.Wakati watu wanawaza kudumisha ndoa mi nilikuwa nawaza itawezekanaje kuishi na mtu nyumba moja jinsi nilivyo sensitive na hisia za watu.


Mimi hata kushikwa popote wkt nimelala siwezi mpk mkono utoke ili ndo nimeshindwa kuzoea mpk leo

Tunapiga story huku tumeshikana mikono ila ikifika mda wa kulala namtoa mikono miguu na kila kitu ndo nalala otherwise usingizi hauji ng’oo.

Mambo ya sijui mwanamke akulalie kufuani kwangu ni big No.Shida yangu kubwa ni tukigusana chochote kibaya utakachowaza ndotoni laZima na mimi niweweseke km ukiwa unaumwa na mimi napata tabu.

Wife ule usiku ambao kesho yake anaingia bleed mimi uwaga automatic sipati usingizi nakesha kabisa na hapo ndo hatugusani imagine km tungekuwa tunagusana sasa lile tumbo lao la bleed nahisi ningekuwa naugulia mimi.

Kama anaumwa week basi hiyo week mimi usingizi wangu ni wa mateso mpk apone.
 
Kijana utakuwa na matatizo ya akili,au hujui jambo hili au unayo yote kwa pamoja.

Lakini unaweza kuoa na mkawa mnalala aidha vyumba tofauti au vitanda tofauti,mkiwa mna hamu ya jimai mnakutana. Maisha mepesi sana.

Mimi nimeoa na silali kitanda kimoja na wife.

Kwahiyo oeni vijana,acheni kuleta ujuaji kwenye hakuna,msiwe kama "SIFURI KISIRANI".

Shukrani
Kama hulali nae kitanda kimoja bas una masharti ya sangoma
 
Yaani ata ukivuta usiku wa kutoa ushahidi hamna.
Kijana ata MOla aliumba mtu mke na mtu mume sasa unapingana na ata aliyekuumba?
 
Kweli na kweli tupu, huwa tunatafuta justification tu baada ya kuona mahusiano yetu hayana muelekeo wa ndoa. Kama ni ngono tunapata sema kiukweli ndoa ni zaidi ya ngono.

Mkuu Tafadhali naomba kama hutojali…!
Naomba unijibu hili swali, Nini madhumuni ya Ndoa ? What is the purpose of Marriage??
Mimi nikiwa na mwanamke kwa muda mrefu huwa namchoka basi tu kujilazimisha kuendelea hasa hasa akiwa wa lawama lawama.
Nisitoke kwenye swali langu, WHAT IS THE PURPOSE OF MARIAGE ?
Is it Love ?
Is it lust or Sex ?
Is it Peace ?
Is it fulfilling your parents’ expecty?
Kuzaliana au ni nini ? Yoyote mwenye kuweza kujibu hili itapendeza ila wale wa majibu yasiyokuwa na staha namimi nitajibu kama ulivyojibu

Niko kwenye mahusiano niko na msichana nampenda na niko kwenye mchakato wa ndoa. Ila nika natafuta purpose ya kwanini wa watu huwa tunaoana !?
 
Mkuu Tafadhali naomba kama hutojali…!
Naomba unijibu hili swali, Nini madhumuni ya Ndoa ? What is the purpose of Marriage??
Mimi nikiwa na mwanamke kwa muda mrefu huwa namchoka basi tu kujilazimisha kuendelea hasa hasa akiwa wa lawama lawama.
Nisitoke kwenye swali langu, WHAT IS THE PURPOSE OF MARIAGE ?
Is it Love ?
Is it lust or Sex ?
Is it Peace ?
Is it fulfilling your parents’ expecty?
Kuzaliana au ni nini ? Yoyote mwenye kuweza kujibu hili itapendeza ila wale wa majibu yasiyokuwa na staha namimi nitajibu kama ulivyojibu

Niko kwenye mahusiano niko na msichana nampenda na niko kwenye mchakato wa ndoa. Ila nika natafuta purpose ya kwanini wa watu huwa tunaoana !?
Watu wana uoga tu wa kubaki peke yako lakini kama uko good supporting system marriage is not necessary.
 
Mwanangu wewe ndio kama mimi, na umri wangu unaenda na sijaoa, hapa nawaza sana yaani, ila ukitaka hii hali itutoke tusitafute wanawake wa abmotuk tu, tutafute wanawake ambao ni marafiki zetu kabisa, mbali na wapenzi.
Mkuu baba alishakupatia mali zako za urithi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom