Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,002
- 72,284
πππππIla hajui.niko single eeh hatuna ndoa.
πππππIla hajui.niko single eeh hatuna ndoa.
Nampongeza babe wangu sweery kwa upambanaji πππ πNapenda kutoa hongera kwa wanawake wenzangu wote ambao wanadate kimya kimya bila showoff kwenye social media.
Hakuna picha hakuna video wala hakuna story yoyote tunayoshea social media kuonesha tupo inlove sie twala kimya kimya.
Mungu atubariki ili tendelee kuajiri tuendelee ku hire hivi viumbe vinavoitwa wanaume mpaka pale mtu sahihi wakua commitment nae atakapopatikana.
Nilivyo muoga kupanga wanaume dada π€£π€£π€£Eeeh mdogo wa mimi wewe hutaki kuwapanga huko inbobo?
Hahahahah wa kukuzalia babeNampongeza babe wangu sweery kwa upambanaji πππ π