Hongera Kikwete

Hongera Kikwete

Iyo ni danganya toto ya mkwere...wazo la UDOM ni mpango wa serikali wa siku nyingi toka enzi za Mwalimu..Mwalimu alitoa wazo la kujenga chuo kikuu kingine baada ya UDSM..watu wakaja na mapendekezo kua kijengwe kilimanjaro mara arusha mara mwanza..lakini Mwalimu akaamua kijengwe Dodoma...then BM ndo akatafuta hadi eneo na viwanja kule chimwaga..alipoingia mkwere alifanya kuendeleza huo mpango wa serikali..so anachokifanya mkwere sasa ni kuchukua sifa zote badala ya kuappreciate mawazo ya watangulizi wake yeye anabeba zote...
 
Wakuungaunga, something is better than nothing.

Ni hatari sana kuungaunga katika suala la elimu,kwa sababu unaweza kuandaa taifa la watu mbumbumbu!Vipi ukimuaandaa daktari wa binadamu kwa style ya kuungaunga madhara yake ni nini?vipi ukimwandaa engineer kwa style ya kuungaunga madhara yake ni nini?vipi ukimwandaa rubani au nahoza kwa style ya kuungaunga madhara yake ni nini kwa wasafiri?vipi ukimwandaa mwalimu kwa style ya kuungaunga madhara yake ni nini?hii kwa ujumla ina madhara makubwa sana kuliko unavyofikiri!labda uniambie ulikuwa unafanya utani kidogo baada ya kazi ngumu!
 
Back
Top Bottom