japo nimeanza kwa kuonywa mazoea nawe ila bado ntahitaji msaada zaidi toka kwako. Kikao kijacho ni lini na kitakua wapi. Mujini kwenye mawe si mwenyeji sana japo, ila ndo'nakuja nipate kuwa mwenyeji na uenyeji wenyewe utafanikiwa kwa kupitia wenyeji kama ninyi, i mean chaminglady, Elizabert Dominic, rock city, et al.
shukrani Mwenyekiti. Naruhusiwa kuzoea watu?Kwa niaba ya wenzangu, nakukaribisha sana na utaupata wenyeji wetu.
shukrani Mwenyekiti. Naruhusiwa kuzoea watu?
Mkuu,
Hiyo iko too personal, siwezi kuingilia aproach ya privacy ya mtu.
Tena, nakukaribisha kwa wing yetu.
Mkuu, thenk yu ver much indeed. Ni mamaneno zaidi yenye Ubusara kwa uliyoyanena. Kiroho safi from today i'am certfied Mwanza Wing jf member...!Mkuu,Hiyo iko too personal, siwezi kuingilia aproach ya privacy ya mtu.Tena, nakukaribisha kwa wing yetu.
Mkuu, thenk yu ver much indeed. Ni mamaneno zaidi yenye Ubusara kwa uliyoyanena. Kiroho safi from today i'am certfied Mwanza Wing jf member...!