CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Natoa ombi langu la kusamehewa na wana jukwaa kwa kutoonekana kutokana na sbb za kimajukumu ambazo zimenilazimu kwenda kuwakilisha ofc kwny maadhimisho ya Mei Mosi mjini Bunda, hivyo kwa hali yyt ile nisingeweza kujigawa! Naamini huu ni mwanzo wa mikutano mingi itakayokuwa endelevu jijini Mza, nami naahidi kutokea live bila chenga kila utakapoitishwa mkutano mwingine! Ni matumaini yangu kuwa wanajukwaa mmenielewa na kukubali ombi langu la kusamehewa kwa kutohudhuria! Ahsanteni
Kwa niaba ya JF Rock City Wing ombi lako limepokelewa.. Panga kutokosa kikao kijacho!! Karibi