ME. Ni vp kwani mkuu?Hebu ngoja niulize kwanza maana hapa sioni avatar yako, hivi wewe ni ME au KE?
ME. Ni vp kwani mkuu?
ME. Ni vp kwani mkuu?
Umeona eeh? Nchi nzima mshikamano kwa wenye mapenzi mema!
Kwa taarifa yako denoo49 huyo watu8 ni baba mzazi wa charminglady ndo maana anakupiga mkwara. By the way charminglady ni mchumba wangu.
Nilikuwa nataka nijue kwa nini C6 kawa mkali kama samaki Mkizi...
teh! raha iliyoje kumjua baba mkwe. Ushatoa kishika uchumba, au cheo tu? Maana ni rahisi uchumba kuvunjwa ila ndoa ni vigumu. Natumai kukutana na Bango welcome Mwanza toka kwa Charminglady.
Na hamu ya mapankiNi furaha iliyoje kukutana live na member mnayekutana jukwaani? charminglady Elizabeth Dominic Rock City ram Home First na mzee GEDEL na wengine BIG UP sana kwa mwendo mliouanza leo.
japo nimeanza kwa kuonywa mazoea nawe ila bado ntahitaji msaada zaidi toka kwako. Kikao kijacho ni lini na kitakua wapi. Mujini kwenye mawe si mwenyeji sana japo, ila ndo'nakuja nipate kuwa mwenyeji na uenyeji wenyewe utafanikiwa kwa kupitia wenyeji kama ninyi, i mean chaminglady, Elizabert Dominic, rock city, et al.
Daddy watu8.... Am afraid of this old man!!!! Please help!!!!