Please daughter stop crying eeenh...daddy is here...
![]()
Arushaone hebu mwenyewe chagua adhabu mojawapo kati ya hizi:
1. Uwe asusa wa huyu DOG wangu...
![]()
2. Uruke kichura kutoka ghorofa ya 20 hadi ground floor...
![]()
3. Uende likizo ya kupumua kwa kuzamishwa kwa maji ya kidumu...
![]()
Napita tuuuuuuu
Napita tuuuuuuu
Kwa taarifa yako denoo49 huyo watu8 ni baba mzazi wa charminglady ndo maana anakupiga mkwara. By the way charminglady ni mchumba wangu.
Afu wewe. . . !
Nope nimetoka RC jana niko aroundMkuu pole sana.... Mbona tuliweka uzi??? Vipi upo RC nini????
Nope nimetoka RC jana niko around
Thanx alot, uwe na siku njemaPole sana mkuu.... Next time nitakuupdate usijali"!!!
Hongereni kwa kukutanaNi furaha iliyoje kukutana live na member mnayekutana jukwaani? charminglady Elizabeth Dominic Rock City ram Home First na mzee GEDEL na wengine BIG UP sana kwa mwendo mliouanza leo.
Next time i' will be there mana nahisi nimemiss kitu kizuri sana
Wasalimie huko uendako!!!!