Hongera JF MWANZA kwa kukutana!

Hongera JF MWANZA kwa kukutana!

Natamani ningekuwa raia wa Jiji la Mawe, sasa hivi ningekuwa nakutana na mabest wa ukweeh.
 
Wadau wenza mie ni mwenzenu hasaa! Mwanang'wanza! Na nilipania sana! Hili kutano lisinipige kanzu, lakini mkamia minze, malenga, amaizi ! Kinachompataga mwakijua!
Tarehe 1 imenipata away of my permanent cirry!
Btw not bad azma ninayo, namuomba muwezeshaji anibarakishe niwepo next meetin!
 
Wakuu j.2 nakuja Mwanza, nimepangiwa huko kimajukumu ya ofisi. Naombeni muongozo na full address ya jiji, maana raha ya Muji upate wenyeji. Kikao wapi next time??
 
Thanks Arushaone, God is gud, hatimaye tumekutana, tunategemea ushauri wa ukweli kutoka pande hizo QUOTE=Arushaone;6259202]Ni furaha iliyoje
kukutana live na member mnayekutana jukwaani?
charminglady Elizabeth
Dominic
Rock City
ram Home First na mzee
GEDEL na wengine BIG UP sana kwa mwendo mliouanza leo.[/QUOTE]
 
Last edited by a moderator:
Natamani ningekuwa raia wa Jiji la Mawe, sasa hivi ningekuwa nakutana na mabest wa ukweeh.

Usijali daddy... mara upatapo nafasi ya kutembelea Mwanza usisite kutujuza walau tukukutanishe na wana JF Rock City Wing.....
 
Natoa ombi langu la kusamehewa na wana jukwaa kwa kutoonekana kutokana na sbb za kimajukumu ambazo zimenilazimu kwenda kuwakilisha ofc kwny maadhimisho ya Mei Mosi mjini Bunda, hivyo kwa hali yyt ile nisingeweza kujigawa! Naamini huu ni mwanzo wa mikutano mingi itakayokuwa endelevu jijini Mza, nami naahidi kutokea live bila chenga kila utakapoitishwa mkutano mwingine! Ni matumaini yangu kuwa wanajukwaa mmenielewa na kukubali ombi langu la kusamehewa kwa kutohudhuria! Ahsanteni
 
Kwa niaba ya JF Rock City Wing, napenda kutoa shukran sana kwa member wote walioacha kazi zao na kuja kujumuika pamoja nasi. Wengi walifikiri tutaishia kwenye thread lakini tumeweza kukutana. Tunashukuru kwa moyo huo. Huu ni mwanzo tu, natumai next time tutakuwa wengi zaidi....

Asanteni sana na karibuni tena.


JF Rock City Wing PAMOJA TUNAWEZA

Nakala kwa: Gedeli, Rock City, Think pad, ram, Elizabeth Dominick, Home First na wadau wote wa Mwanza.......

Cheers

CL
 
Last edited by a moderator:
Wadau wenza mie ni mwenzenu hasaa! Mwanang'wanza! Na nilipania sana! Hili kutano lisinipige kanzu, lakini mkamia minze, malenga, amaizi ! Kinachompataga mwakijua!
Tarehe 1 imenipata away of my permanent cirry!
Btw not bad azma ninayo, namuomba muwezeshaji anibarakishe niwepo next meetin!

Karibu sana mkuu Judgement, tutakujuza next meeting itakuwa lini......
 
Last edited by a moderator:
Wakuu j.2 nakuja Mwanza, nimepangiwa huko kimajukumu ya ofisi. Naombeni muongozo na full address ya jiji, maana raha ya Muji upate wenyeji. Kikao wapi next time??

Karibu sana mkuu denoo49, mimi kama Kiongozi wa muda wa JF Rock City Wing tunakukaribisha saaaana katika Wing hii.... Kikao.kitakachofuata tutawajulisheni wadau.
 
Last edited by a moderator:
Thanks Arushaone, God is gud, hatimaye tumekutana, tunategemea ushauri wa ukweli kutoka pande hizo QUOTE=Arushaone;6259202]Ni furaha iliyoje
kukutana live na member mnayekutana jukwaani?
charminglady Elizabeth
Dominic
Rock City
ram Home First na mzee
GEDEL na wengine BIG UP sana kwa mwendo mliouanza leo.
[/QUOTE]

Nimefurahi sana dada ram kukutana na wewe live bila chenga... Yaliyojiri baada ya wewe kuondoka tutakujuza PM...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom