Hongera CDF umeona mbali. Leo wanavyosumbua Congo Mashariki, Kesho watasumbua Tanzania

Watanzania tazameni ramani halafu mnambie mtazuwia vipi wageni wa nchi zinazotuzunguka? Au utabaguwa, wageni hawa tunawataka, hawa hatuwataki?

Au fitina tayari za kuanza kuuwana?
 
Hili suala la Watutsi kuanzisha Bahima Empire tumeshalisema sana lakini watu wanalichukulia kama ni nadharia mfu lakini ukweli lipo. Wao wanajiona ndiyo wenye haki ya kutawala eneo hili lote la maziwa makuu. Hongera CDF kwa kunusa hatari hii
Ushahidi kuhusu BAHIMA EMPIRE tafadhali au ni Rabbit Hole?
 
Hii jamii ni hatari sana. Iliweza kupenetrate Uganda na sasa wanaitawala, ikaweza kuchukua Rwanda na sasa wanaitawala.

Baadhi walikimbia Congo Mashariki waka kaa kama wakimbizi alafu badae wakasema pale ni kwao.

Wa Congo waliposhtuka kusema waondoke wakagoma na sasa ndo wanaendesha vikundi vya waasi Congo Mashariki kwa faida ya ndugu zao waliopo Rwanda na Uganda

Kiusalama wa taifa hawa watu ni tishio sana na wanachotaka sasa ni kuimega Congo ili waiunganishe na Rwanda na baadae hata Uganda wataifanyia hivyo hivyo kupitia vikundi vyao kikiwemo M23

Inaonekana Intelejensia ya Jeshi letu ipo vizuri sana kuliko hawa TISS.

Kwa Tanzania mikoa ya Magharibi wamedominate wao kwa sehemu kubwa hasa Geita, Kigoma na Kagera. Hivi karibuni wameanza kuingia Katavi

Kesho wakilianzisha wakisema Kagera, Kigoma na Geita au Katavi ziwe sehemu ya empire yao msishangae.
Huwezi kuwaita watu wakimbizi ambao waliingia nchini 1972 miaka 52 iliyopita,wamezaa hapa wamesoma ,wameoa na kuolewa Tz hao ni raia wa Tz tatizo serikali ya ccm labda haijawapa uraia,wanastahir na kuwaita ni wakimbizi ni roho mbaya na kuwadharirika
 
Mkimbizi ni mkimbizi tu. Nenda China is history hata miaka 100 we ni mkimbizi

Huo ujinga ndo unawasumbua Congo saivi
 
Hii jamii ni hatari sana. Iliweza kupenetrate Uganda na sasa wanaitawala, ikaweza kuchukua Rwanda na sasa wanaitawala.

Baadhi walikimbia Congo Mashariki waka kaa kama wakimbizi alafu badae wakasema pale ni kwao.

Wa Congo waliposhtuka kusema waondoke wakagoma na sasa ndo wanaendesha vikundi vya waasi Congo Mashariki kwa faida ya ndugu zao waliopo Rwanda na Uganda

Kiusalama wa taifa hawa watu ni tishio sana na wanachotaka sasa ni kuimega Congo ili waiunganishe na Rwanda na baadae hata Uganda wataifanyia hivyo hivyo kupitia vikundi vyao kikiwemo M23

Inaonekana Intelejensia ya Jeshi letu ipo vizuri sana kuliko hawa TISS.

Kwa Tanzania mikoa ya Magharibi wamedominate wao kwa sehemu kubwa hasa Geita, Kigoma na Kagera. Hivi karibuni wameanza kuingia Katavi

Kesho wakilianzisha wakisema Kagera, Kigoma na Geita au Katavi ziwe sehemu ya empire yao msishangae.
Tutsi empire. Hii ni agenda iliyo hai.

OK alishatuwahi siku nyingi sana tuko uchi sebuleni kwake.

Labda usafi ufanyike tena wa nguvu.
 
Ndiko tunakoelekea. Kuna wakubwa jeshini ambao ni wakimbizi ndio wanasimamia interviews za kuingiza vijana jeshini huku wakiwapa nafasi wenzao ndani ya jeshi letu. Siku kikiwaka tunaweza nyang'anywa taifa hili maana maeneo nyeti sana.
Hii Comment kuna watu wataichukulia kawaida sana Ila impact yake ni hapo baadae tukshtuka kumeshapambazuka
 
Cha kushangaza aliyepewa ujumbe anajibu mambo ya uchaguzi wa mitaa tu.
Kichwa kinafikiria kushika Dola zaidi hata kwa MSAADA wa wakimbizi waliopo kwenye idara nyeti huko ndani Ila uchaguzi ashinde kwanza alafu ndio turudi kwenye topic ya wakimbizi
 
Hii nchi viongoz wanajar Siasa tu Ili wabakie madarakan ila kuhusu usalama WA nchi ni sifuri kabisa.
Mfano mdogo nimekaa Sana hapo Ngara - Kagera ,yaan hiyo wilaya wamejaa warundi na wanyarwanda mbaya Zaid wengi wanamiliki Hadi NIDA wanazipata Kwa shilingi elfu hamsini tu.

Ingia bar yoyote ya Ngara wahudumu ni warundi.
Ukienda saloon za kiume na kike ni warundi.
Mapori ya ng'ombe wamejaa wanyarwanda na viongoz wanaujua ukweli wote na wapo kimya.

Wafanyakaz WA ndani WA hiyo wilaya wote ni warundi na wengine wanaishi kwenye nyumba za viongoz WA ngazi kubwa za wilaya.

Kila kukichwa warundi na wanyarwanda wanapenya tu ndani ya tanzania ,kahama ni kama nyumbani kwao, Dodoma washafika.Ukienda kariakoo chinga wadogo wadogo ni warundi Sasa kwanini wasipenye kwenye vyombo vya usalama?

Kizaz kijacho kina Kaz kubwa juu ya Hawa mbwana maana tayar washajipenyeza Kwa wingi sana
 
Back
Top Bottom