Hongera CCM

Hongera CCM

ccm ,ccm hapana huna jipya ccm..umetunyonya vya kutosha...sitamani kukuona wala kukusikia ccm.
ccm,ccm mbona Mwl alikuacha mwema na kila mtanzania akakufurahia?..sitamani kukuona wala kukusikia ccm.
ccm,ccm umekuwa chama cha biashara ,tena zile haramau,ukaacha kuhusudu haki..sitamani kukuona wala kukusikia ccm.
ccm,walokufa ni wengi tena mikononi mwako,wale waliokukosoa uliwaona wasaliti..sitamani kukuona wala kukusikia ccm.
ccm,tumekuchoka kwa zako siasa chafu,maovu wayapanga tena kwa waadilifu..sitamani kukuona wala kukusikia ccm.
ccm ungekufa leo,wala nisingelia,utajiri wa tz waugawa kwa wachache,sitamani kukuona wala kukusikia ccm.
ccm,ccm busara umekosa,ukaitupa sheria,dola waitumia bila hata ueledi,sitamani kukuona wala kukusikia ccm.
ccm,ccm,ccm kejeli wazidisha hata kwenye mambo ya msingi,elimu na afya vyote vyadidimia tena kwa kasi. Sababu ya anguko hili ni wewe ccm.

''ccm ,ccm,ccm sitamani kukusikia.''
 
sina haja ya kusoma upuuzi wako. maana hata nitumie microscope siwezi kuona point hata moja.
 
CCM unanifananisha na mchicha.....
ndio tatizo la kuingia kwenye chama bila kujua itikadi yake vizuri....unaizungumzia CCM kama CHAUSTA bana....CCM sio chama cha kujinasibu kwa kushika nafasi ya pili...
Kwa takwimu za nchi nzima (simple analysis)
CHADEMA ilikuwa na viti vingapi na CCM viti vingapi?
Chama kipi kimepanda na chama kipi kimeshuka?
Hapa ndio pa kuanzia........
 
Ndugu

Pili napenda kutoa himizo kwa wanaccm na viongozi wote walioshiriki uchaguzi wa Arusha kuwa kuvunjika kwa mpini sio mwisho wa uhunzi,tumejaribu,tumeweza na sasa tusonge mbele katika kuwatumikia watanzania kwani ilani iliyoko madarakani ni ya CCM.

Viva CCM

Kuna watu wanakusingizia elimu ndogo uliyo nayo uliipata kwa shida sana. Kuvulia chupi kila mwalimu wa kiume. Ila sikujua kama ulianza huo ujasiri tangu ulipokuwa darasa la nne. Kwa sababu hiyo methali inafundishwa darasa la nne. Inaitwa hivi, kuvunjika kwa KOLEO siyo mwisho wa uhunzi. Koleo la kufuma vyuma ni kitu tofauti na mpini wa jembe.
 
Salaam,

Leo hapa jukwaani kuna thread ya Juliana Shonza ya kuipongeza CCM kufuatia uchaguzi wa madiwani ameipa title ya "hongera ccm". Katika kuandika kwake kuna sehemu anawaasa CCM wasikate tamaa na kuwaambia kuwa "hata mbuyu ulianza kama mchicha", niliposoma hapa nikashtuka kidogo. Nimeshtuka kwa sababu naona kama Juliana Shonza amejisahau na kutoboa siri ya CCM kuwa kumbe walishajikatia tamaa kitambo kiasi kwamba sasa wanajiangalia kama chama changa kinachojihitaji kukua kama mchicha na kuwa mbuyu! Ni aibu!

Poleni sana CCM, dawa ni kuua CCM ya sasa na kuzaliwa CCM mpya tena jina tofauti!

Ahsanteni!

CC: Juliana Shonza, Mtela Mwampamba, Mwigulu Nchemba, Nape Nnauye
 
maCCM bana, Siku hizi yanajiita michicha
images


wanajua CHADEMA now dayz ni zaidi ya Mbuyu

images

CHEZEA CHADEMA weye? bado dakika tano tu kukuche!
 
Hv ccm ni chama changa inayokua au kuna ccm nyingine? kwa7bu mi ccm nayoifahamu saiv inaisha kama jiwe linalomomonyolewa.
 
CCM !Kujitambua ni jambo muhimu sana katika kufikia malengo fulani,hongera CCM kwa kuliona hilo,la msingi ni kutambua kutoka kama mchicha hadi kuwa mbuyu mkubwa kuna vipindi vingi sana vya ukame,jua kali,dhoruba hata mafuriko,uvumilivu ndiyo silaha,tetehehe vumilia CCM
 
Salaam,

Leo hapa jukwaani kuna thread ya Juliana Shonza ya kuipongeza CCM kufuatia uchaguzi wa madiwani ameipa title ya "hongera ccm". Katika kuandika kwake kuna sehemu anawaasa CCM wasikate tamaa na kuwaambia kuwa "hata mbuyu ulianza kama mchicha", niliposoma hapa nikashtuka kidogo. Nimeshtuka kwa sababu naona kama Juliana Shonza amejisahau na kutoboa siri ya CCM kuwa kumbe walishajikatia tamaa kitambo kiasi kwamba sasa wanajiangalia kama chama changa kinachojihitaji kukua kama mchicha na kuwa mbuyu! Ni aibu!

Poleni sana CCM, dawa ni kuua CCM ya sasa na kuzaliwa CCM mpya tena jina tofauti!

Ahsanteni!

CC: Juliana Shonza, Mtela Mwampamba, Mwigulu Nchemba, Nape Nnauye

kwa hiyo wewe ndiyo juliana shonza mbona unadandia yasiyokuhusu.
 
Nakupongeza mama mkuu unaesababishia watu ban kila mara. Mbona hukugusia kuwa pamoja na CCM kushinda kata nyingi lakini CHADEMA iliizidi kwa idadi ya kura ilizopata. Naomba ujibu hili kabla sijakupa takwimu
 
pamoja na bajeti ya kununulia mabomu mliyoenda kugegedana nayo na mwigulu kule china lakini mmeangukia pua,hongera kwa kukubali ila siku nyingine uwe unatumia hicho kichwa kufikiri.
 
haha haha haha unanikumbusha kitabu cha hadithi cha darasaa la tatu cha kisa cha sungura cha sizitaki mbichi hizi
 
Mnajua kuwatuliza mioyo ccm utadhani wamefiwa na ntoto nkubwa? Mbona hamuonyeshi huruma kwa vyama vingin, kwani ni ccm tu akiyeangukia pua? Na bado kwetu ntwara ccm ntakiona cha moto nnatubakia wake na dada zetu sababu ya gesi na kutulazimisha tukimbie makazi yetu???
 
Nakuomba kwny uzi uongeze kuwa ''Chadema haikushinda Kata tu,bali ilishinda vituo vyote''.haah,haah,Chadema noma
 
Juliana kweli nimeamini wewe ni mwanasiasa uchwara..ccm wamepoteza kata 4,chadema wametetea kata zao bila kupoteza hata moja,ila wameongeza kata 4 kibindoni..sasa hapo kipi cha kujivunia?
 
Back
Top Bottom