Napenda kuona upinzani ukikuwa Tz ila hiki chama chenye mashabiki wanaoacha kujibu hoja na badala yake kumtukana mtoa hoja kina rudisha nyuma jitihada za kuukuza upinzani.
Ajabu humu ndani kuna viongozi wakitaifa wa CDM na wenye heshima zao lakini wameshindwa kujaribu kuwaambia wanachama wao wajibu hoja badala ya matusi. Zitto, Slaa, Mbowe, na miamba mingine ya CDM mpo wapi na kwanini hamjaona haja ya kuzuia wanachama wenu wasitukane.
Upinzani ni utofauti wa sera kwa njia ya ushawishi. Lakini kilichopo JF ni hoja zinazojibiwa kwa kejeli au matusi. Inasikitisha.
Magwanda yanachojua ni mitusi tu. Si ilizaliwa Kariakoo mijitu mingine humu.
Umeandika vizuri isipokuwa hapo kwenye ''hata mbuyu ulianza kama mchicha.'' CCM ni chama kikongwe kuliko vyama vyote hapa nchini. Hiyo nahau sidhani kama inaendana na ukongwe wake. Ni dalili ya kuanza kukata tamaa kuilinganisha CCM na mchicha ambao baadaye utakuwa hadi kuwa kama mbuyu. Mlipaswa tayari kuwa mmekuwa hadi mmefikia ukubwa wa ubuyu. Hiyo kauli ilitakiwa kutolewa na vyama vinavyoanza kukua.

Hivi na Vipofu wanaona?Kwani hata kipofu akiona mawingu hudhani kuwa kaona mbingu,kumbe ni mawingu tu na yatapita.
Ni vema mkatambua kuwa wa awali ni wa awali tu.
Hivi wewe hiyo degree uliipataje? Hilo bandiko lako ni kama vile limetayarishwa na kijana aliyemaliza darasa la saba. Hebu tuwekee takwimu hapa zinazoonyesha kwamba katika uchaguzi wa 2010 CCM ilipata kura kidogo katika hizo kata nne lakini katika uchaguzi wa juzi imepata kura nyingi zaidi. Ukizungumzia uchaguzi kwa ujumla, nashangaa wewe unaishi dunia ya wapi ambaye hujui kwamba CCM ilipoteza viti katika baadhi ya kata kwa CDM? Acha kutujazia server kwa post zisizokuwa na vichwa wala miguu.
Kuna kitu ningesema, lakini naogopa ban.
Tiba
Radhia, hivi unapotukana watu waliozaliwa kariakoo unajua unatukana watu wangapi na ambao wengine ni wa muhimu sana kwako?
Unadhani huo uduni wowote unaouona kariakoo ni nani aliyeuasisis kati ya CDM na CCM? Ona mbele ya wigo wa ushabiki wa kisiasa.