Nilimaanisha kiwatengu nae inamuhusu hiyo sifa chanya ya udukuzi..
Hajambo Paloma sema siku hizi yuko busy na mapacha yaani lol.. na nyumba yangu ndogo babe Passion Lady nae kanikimbia.. Majanga matupu yaani..
Oh My God.
Tyta wewe ni shider aisee.
​bebe soso ndio nisharudiBebe mic u mor mie.. Umemuachia uwanja mwenzio mpaka anajisahau yaani.. Plz come back beib..
​bebe soso ndio nisharudi
Paloma yupo Mkuu.. Malezi tu yamembana.. Lady doctor yupo kweli..?