Paloma
JF-Expert Member
- Jan 22, 2008
- 5,331
- 4,956
Paloma yupo Mkuu.. Malezi tu yamembana.. Lady doctor yupo kweli..?
Wewe bebe sosoliso na bebe Passion Lady................im watching u!!!
Last edited by a moderator:
Paloma yupo Mkuu.. Malezi tu yamembana.. Lady doctor yupo kweli..?
Wewe bebe sosoliso na bebe Passion Lady................im watching u!!!
Mke wangu Paloma barafu wa moyo wangu.. Passion Lady alikuwa anakusaidia wakati uleeee una tumbo kubwaaa.. Wala usiwe na khofu wala mashaka..
msaada kwani we umekuwa tanzania?
mkome!!!
Bebito, kauli yako ni pumzi yangu. Najuta kuchelewa kukufahamu.
Bebito, kauli yako ni pumzi yangu. Najuta kuchelewa kukufahamu.
Ulikuwa wapi siku zote?
Kungekuwa na mizani ya mapenzi, ingethibitisha nakupenda zaidi ya unavyonipenda.hujachelewa kipenzi let's enjoy... nakupendajee
Kungekuwa na mizani ya mapenzi, ingethibitisha nakupenda zaidi ya unavyonipenda.
Najisikia raha kupendwa na wewe.
Nimependelewa na Mungu.
Na bado sijamaliza kitabu, Vumilia maisha yangu utakula vya kwangu.aawwwwww I feel loved 
Na bado sijamaliza kitabu, Vumilia maisha yangu utakula vya kwangu.
Ole wako ufe kabla yangu.... Sitakubali kubaki peke yangu.navumilia honey, ntakufa na wewe haki ya mama
Ole wako ufe kabla yangu.... Sitakubali kubaki peke yangu.
Hahahahaha.... thats my girl!!ndo maana nimekwambia ntakufa na wewe siwezi kufa nikuache wengine wakufaidi
Mke wangu Paloma barafu wa moyo wangu.. Passion Lady alikuwa anakusaidia wakati uleeee una tumbo kubwaaa.. Wala usiwe na khofu wala mashaka..
Jamani mbwebi wangu wa ukweli nilikuwa ninamtoa barabarani pale Paloma.. Si unajua alivyo na wivu..! By da way nimekumiso kinomi yaani.. Uko poa ww..?
mmmh bebe soso mic u much pia
umenionea wapi my Ruttashobolwa?nimemmisoo
​mic u bebe paloma
mmmh bebe soso mic u much pia
umenionea wapi my Ruttashobolwa?nimemmisoo
my Ruttashobolwa niko naye hapa.............kuna nini kwani bebe Passion Lady