Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,838
cc Asprin & Honey Faith..
Mie hadi nimekionea huruma hiki kibabu.Aiseee inauma sana
Last edited by a moderator:
cc Asprin & Honey Faith..
Noted with thanks!!
Mie hadi nimekionea huruma hiki kibabu.Aiseee inauma sana
Anza kunichangia rambirambi..... Namwona ziraili ananinyemelea mchana kweupeeee...Mie hadi nimekionea huruma hiki kibabu.Aiseee inauma sana
Kukataliwa kubaya, kukataliwa mateso?Kiacheni kibabu changuu mi nayeye tunajuana
Kukataliwa kubaya, kukataliwa mateso?
Kwanini umeyaruhusu??
Niletee uji na mtori.... nimelazwa Muhimbili wodi ya vichaa...
Anza kunichangia rambirambi..... Namwona ziraili ananinyemelea mchana kweupeeee...
Kiacheni kibabu changuu mi nayeye tunajuana
Huyu hapa chini.......... Yani nimeumia moyo mpaka natamani kuRIPBabuuuu kwani nani kakukataa?
Yes babe, ni mapenzi tu ya mjukuu kwa babu nothing else... lap youuu
Napata moyo angalau hutendi unachokisema. Hapa chini umenifariji sana....Wakati unadanganywa si ulikuwa unanisema kama hunijui.Ni mzee lakini ulisahau msemo wa usiache mbachao kwa msala upitao na usione vyaelea babu weeee vimeundwa.Kama ulivyonikana hadharani basi na mie ujue nakukana leo
Cc sosoliso
Usimdanganye babu wa watu jamani???
Napata moyo angalau hutendi unachokisema. Hapa chini umenifariji sana....
Ghorofa alitoe wapi?wakati alishauza kila kitu anasema anakula maisha kumalizia uzee wake
Nina shaka na mabwepande kule.. unaweza kukuta chama kapotelea kule lol..