Holiday Greetings, Tuma salaam

Holiday Greetings, Tuma salaam

Asante sosoliso,
Heri ya sikukuu na mwaka mpya kwako pia. chama sijui hata alikopotelea.
 
Last edited by a moderator:
Natuma salamu maalum sana kwa Jamal Malinzi,
Nakutakia heri ya sikukuu na mafanikio tele ya mwaka 2015.
 
Last edited by a moderator:
Hii holiday imekaa vizur sana sijui kwanini haikuanzia jumatatu
 
Natuma salamu sana kwa Baba Ngina yaani Mtambuzi,
Heri ya sikukuu na mwaka mpya.
Ni nini kilikufanya ushindwe kupitia hata hapa kijiweni ili kunipa hi?
 
Last edited by a moderator:
Nawashukuru wote wanajf kwakweli ni wengi sana kuwataja! Nawataki wote Christmas njema!
 
salaam zangu za dhati kwanza zimfikie mume wangu mpendwa ..Nakupenda sana

baba paroko Kaizer na mpendwa katika bwana @C6

wifi zangu miss chagga Khantwe na ladyfurahia na wengine nisowajua

wadogo zangu miss neddy Heaven Sent Honey Faith..

kaka zangu muuza ubuyu Ntuzu spade4spade na wengineo

mashemeji zangu wote wakiongozwa na utafiti

my dear Rich Woman wherever you are..jua you are missed

na wale ma member tunaopishana nao kwenye usafiri wa umma nawaona wana log in na kucheka peke yao..iko siku nitaona username hata moja...

kwa members wote

i wish you a merry christmas and very happy new year

Hujanisahau kweli, ngoja tena nipitie listing yako!
 
Last edited by a moderator:
daah! nilichelewa kuona huu uzi, kipekee kabisa natuma salam zangu za dhati mtaa wa Lumumba wakiongozwa na mpwa wangu Ritz , bila kusahau mtaa wa Ufipa kwa @Dr Slaa ,

mpwa wangu BAK akiwa kwenye kona speed 120km/h nakushukuru sana kwa kunirahisishia kupata habari za motomoto, mpwa wangu Chakaza popote ulipo unatafutwa urudi Lushoto ukasalimie uliowaacha, HP wangu wa ukweli Elli salam zangu zikufikie popote ulipo, ujumbe wangu kwako ni kwamba boha sijafanikiwa kuliacha bado, ongeza juhudi za maombi huenda msimu huu wa siku kuu ukawa mwisho wa mimi kunywa boha, mpwa wangu MANI nakiri kuwa mwaka huu 2014 umeufanya kuwa mwepesi sana kwangu, speed 140 nadunda kwa road, pia nakupa pole kwa msiba wa bro wetu, kifaransa tunasema ''TIHANG'WE'', sosoliso mpwa wangu sina la kusema,

Kmanda Mwita Maranya hope unapambana popote ulipo ,

dah kwa ujumla JF yote , wadau wangu wa kule uzi wa ujenzi wa nyumba na ramani siwezi kuwa'mention wote, ila nimalizie salam zangu kwa dada yangu AshaDii popote ulipo nakutafuta kwa nguvu zote kama vile mgawo wa Tegeta Escrow
 
Last edited by a moderator:
Nilimaanisha kiwatengu nae inamuhusu hiyo sifa chanya ya udukuzi..

Hajambo Paloma sema siku hizi yuko busy na mapacha yaani lol.. na nyumba yangu ndogo babe Passion Lady nae kanikimbia.. Majanga matupu yaani..

Ndo shida ya nyumba ndogo hiyo. We unaenda kwake kisa Paloma analea hata mi nisingekupokea afu nikurekebishe kiwatengu sio mdukuzi futa hiyo kauli
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom