Halafu nimekumiss sana mpenzi.
Hata mimi? Hakyamama nna bahati kama Pulofesa Muongo.Napenda kutuma salami zangu za mwaka mpya 2015 kwa wanna JF woootee. Nimewamiss sana sana humu. Eli79, Asprin, BAK, @FP, C6 Mr Rocky. charminglady. Filipo. marejesho. kiwatengu. shansarie. Lady doctor Arushaone, Ennie. Heaven on Earth. sosoliso. Paloma. Erickb52. Eiyer. Lily Flower. Mwita Maranya. Dark City Arabela.@ Mwanyasi. YNNAH. Mzee wa Rula blaki Woman. Chocs AshaDii.Wahaya woote, bila kuwasahau wasambaa, wabondei, wadigo na wazigua.Mawifi na mashemeji zangu.
Muwe na mwaka wenye mafanikio saana.
uko antactica ama? pole mwaya
Wewe mbaba upoooo?
We mbaba upo?
Nipoooooo!!
Hizi salamu zangu kwanza kwa wake zangu AshaDii gfsonwin na DEMBA. Kisha nawatakia unywaji wa afya sikukuu hii Fidel80 Teamo Bigirita RR MwanajamiiOne Asprin KakaKiiza amu Khantwe ladyfurahia
Nawatakia sikukuu njema le mabebz wote wa hapa MMU wakiongozwa na super le mbebz masai dada, miss neddy kichunafk sister ICHANA mamaafacebook Ennie Eshy m.s Kim nana Honey Faith Evelyn Salt Husninyo Preta farkhina na super le mutindiz wote.
Bila kuwasahau ma super men wa hapa kina utafiti Tyta mnengereko Dark City mzee mwenzangu wa mwaka 47 moto ni ule ule, Arushaone Mzee wa Rula PakaJimmy Filipo asakuta same na wengineo.
Walimu wangu snowhite na Madame B nawakumbuka sana mwaka.kesho ntaanza form one.