Holiday Greetings, Tuma salaam

Mwita Maranya asante sana.....nakuombea afya njema na familia yako....zaidi unajua 2015 lazima uwe mwaka wa ukombozi wa pili......tupo pamoja kamanda......
 
Last edited by a moderator:
wow!
thank you!..i wish you a happy new year we na wife wako kipenzi shansarie
 
Last edited by a moderator:
Nakushukuru mkuu. Tuwe pamoja 2015, na yaliyoshindikana 2014 tuyakamilishe 2015
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…