Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
Tatizo inatumika sana ndio maana hivyo hupelekea kupoteza ladha....
Acha hizo kwani kaka yako kakuambia imepoteza ladha?
Tatizo inatumika sana ndio maana hivyo hupelekea kupoteza ladha....
Acha hizo kwani kaka yako kakuambia imepoteza ladha?
ndio, huwezi kunipa vyote...?
mamaafacebook ujue mekumiss weweView attachment 213580pokea hiyo
Salamu Za Christmass..
Kutoka kwa familia yangu, i mean mimi, my wife shansarie and our two daughters...
Ziwafikie wanajamii wote kwa ujumla wenu..
Marafiki zetu wote wa mbali na wakaribu..
Wake kwa waume..
mamaafacebook pokea salamu zetu tena..
Mtoto halali na hela pokea salamu na hongera kwa kuamua kuwa mpweke(single)..
Wana teamrafiki kwa ujumla wenu.. Mr Rocky na mkeo Dena Amsi, Ntuzu na mkeo Khantwe, Tized na Kasinde kabanga na mkeo MankaM(itakuwa rasmi soon), utafiti na mkeo miss neddy.. Honey Faith na mumeo Rogie(braza kuna mtu anakuibia)
My lovely aunt Mamndenyi na wanao wote wa Kilimanjaro na Dar... miss chagga pokea salamu.. tinna cute (ningekuwa sijaoa ungenihusu)..pokea salamu..
kan'tangaze babe..pokea salamu mwallu na mumeo Mentor..pokea salamu Kaizer na mkeo DEMBA pokea salamu Munkari na followers wako wote.. Tumboo na First Born(not a bond)
My friends.. Heaven on Earth, angelita KOKUTONA..with love pokeeni salamu zetu!!
Mkuu Mndengereko pokea salamu, nitafurahi once tukifika pamoja pale Uhuru peak..
Team Arusha wing.. arusha one na mkeo Lady doctor Erickb52 na mkeo Chocs..
Preta marejesho
'Valentina' na Eiyer (paroko usiruke hii) black woman.. Mzee wa Rula
Mwenyekiti paka jimmy pokeeni salamu
My friends of Mtwara.. MMAHE THE BIG SHOW na mkuu Sinziga
Pokeeni salamu zetu...
Wanamanyara wote muishio ndani na nje ya nchi.. measkron na mumeo watu8 pokeeni salamu zetu za upendo..
Teambazazi.. mwekundu, Nicas Mtei..
Babu Odm Asprin
Na Kibo10, Rich Pol( nyie sio mabazazi)..
Mwanyasi na mkeo janeth1 pokeeni salamu..
daudi1 na angelicous pokeeni salamu, hamjaachana kiroho bado.. charty my dear accept my greetings... kichunafk.. Mafikizolo warembo..pokeeni salamu zetu za christmass na mwaka mpya..
Passion Lady na husband wako Ruttashobolwa..tunawasalimu
Teampicha Tyta mshanajr charminglady
Pokeeni salamu zetu.
sosoliso na mkeo Paloma.. Slave Na mkeo Evelyn Salt pokeeni salamu zetu..
My friend Karucee pokea salamu zetu and sorry for what i did.(samehe tena)..
ladyfurahia receive our season greetings..
Mkuu Nyani Ngabu
Kiranga
Mzee Mwanakijiji Dark City Matola, lara 1 ram Madam B MO11 amu
Na members wengine woote...
We Wish you Merry Christmas and Happy New Year 2015...
Ahsante sana kwa salamu, lakini ningependa kujua nani anaiba mali zangu
(braza kuna mtu anakuibia)
Salam zimfikie woote watakaopitia uzi huu
Nawatakia kheri na fanaka katika msimu huu
Kwani huibiwi wewe?
Napenda amani..
Nani anaeniiba jamani???Mbona wewe mgomvi hivyo??