Holiday Greetings, Tuma salaam

Holiday Greetings, Tuma salaam

best asante sana mume wangu apenda matani weee mida ile tulikuwa woote akaamua kukutania tuu
nampenda sana mahabuba wagu yule ..sala zako muhimu
cc. Mokoyo
Thanks sana my dia ICHANA.Juzi nilionana mmeo makoyo akaniambia mmeachana?Jamani hebu fanyeni utaratibu mrudiane nilikuwa naipenda sana couple yenu

Na wewe babu Asprin mbona hauonekaniki au umepata dogodogo anaeyekubana????
 
Last edited by a moderator:
thanks sana kwa salamu kiwatengu na mkeo...napenda kuwakumbuka kwa michango na jokes zao ,.holiday njema woote na mungu awape baraka zaid kwa mwaka ujao.. mokoyo now umehamia kwa khantwe jitahid mwakani mmpate mtoto,my special tized ntuzu upo kweli? Bazazi mpo wapi siwaoni mwekundu asprin n kaizer best miss neddy, honey faith dinazarde tumboo manka m miss chagga najiulza makani utajiita nani bet kan'tangaze
michango yenu ni muhimu sana eiyer watu 8 bak mungu awabarik wote

nashukuru kwa salamu mpendwa wangu. Nikutakie nawe mwaka wa mafanikio yule mchumba apeleke mahari sasa aache masihara.
 
Last edited by a moderator:
Ahsanteni sana wana JF wote mlionikumbuka na kunitumia salamu za kheri ya mwaka 2014.

Natambua kuwa mwaka huu umekuwa na mazonge mengi lakini tumshukuru Mungu kwamba ametutendea neema hadi tumefika hapa tulipo.

Kutokana na majukumu mahali mahali nimelazimika kuwa adimu hapa jukwaani lakini ukweli ni kwamba nimekuwa napita kuangalia kinachojiri na nimekuwa adimu katika kushiriki mijadala kwa njia ya kuandika.

Kipekee kabisa niwatambue baadhi ya watu ambao kwa namna moja ama nyingine wamekuwa sehemu muhimu ya thamani yangu hapa JF;

Swahiba Mtambuzi Binti yangu Zion Daughter My Sweetie Wife mwaJ Binamu Madame B makamanda Filipo sweetlady Arushaone Daudi Mchambuzi Molemo Froida Lwesye Yericko Nyerere Preta Arnold Ringo Asprin (muzee ya LMM)@bujibuji charminglady WiseLady Excel watu8 Ben Mugashe KakaKiiza Mzee mwenzangu Dark City Paloma sosoliso zumbemkuu Kaizer AshaDii Ruttashobolwa (msaliti)

Mr Rocky Fixed Point Chakaza MziziMkavu afrodenzi Heaven on Earth Jasusi idawa Nguruvi3 Mentor Sikonge Dingswayo MANI Bulesi MTAZAMO Erythrocyte Mag3 Crashwise Idimi, JokaKuu Tuko Elli Janjaweed Candid Scope Chocs Bigirita Nyani Ngabu Mamndenyi marejesho MwanajamiiOne.

Tuombeane kheri katika mwaka wa 2015 ili kila mmoja wetu afanikiwe mipango yake na kubwa kuliko yote katika mwaka ujao wa 2015 likiwa ni kupiga kura HAPANA dhidi ya Katiba pendekezwa ya fisadi Andrew Chenge na baadae kupiga kura ya mabadiliko ya kweli kwa kuwang'oa madarakani "mazulumati" ya ccm.
 
Last edited by a moderator:
Asante sana mkuu Mwita Maranya
Mungu akupe kila lililo jema katika kuumaliza mwaka huu wa 2014 na kuingia mwaka mpya wa 2015. Ni kweli mwaka ulikuwa na mengi ila mengine ni kama darasa kwetu kujua nini cha kufanya kwa mwaka ujao wa 2015 na kujiangalia tulijikwa wapi na sio tuliangukia wapi
 
Last edited by a moderator:
Asante sana mkuu Mwita Maranya
Mungu akupe kila lililo jema katika kuumaliza mwaka huu wa 2014 na kuingia mwaka mpya wa 2015. Ni kweli mwaka ulikuwa na mengi ila mengine ni kama darasa kwetu kujua nini cha kufanya kwa mwaka ujao wa 2015 na kujiangalia tulijikwa wapi na sio tuliangukia wapi
 
Last edited by a moderator:
Ahsante sana ICHANA...God bless you too. Happy New Year.

thanks sana kwa salamu kiwatengu na mkeo...napenda kuwakumbuka kwa michango na jokes zao ,.holiday njema woote na MUNGU awape baraka zaid kwa mwaka ujao.. Mokoyo now umehamia kwa Khantwe jitahid mwakani mmpate mtoto,my special Tized Ntuzu upo kweli? bazazi mpo wapi siwaoni mwekundu Asprin n Kaizer best miss neddy, Honey Faith Dinazarde Tumboo Manka m miss chagga najiulza makani utajiita nani bet kan'tangaze
michango yenu ni muhimu sana Eiyer Watu 8 BAK MUNGU AWABARIK WOTE
 
Last edited by a moderator:
Ila siku mbili hizi pangekuwa na thread ya kutoa makavu laivu ningefurahi sana.


Kuna watu wawili watatu wamenikwaza ningewachana weee halafu yaishe nianze mwaka vizuri.

my dada Karucee nakutakia heri ya kumaliza mwaka. Wewe ni kati ya watu ninaowapenda sana na zaidi nakuheshimu. Salute you dada
 
Last edited by a moderator:
my dada Karucee nakutakia heri ya kumaliza mwaka. Wewe ni kati ya watu ninaowapenda sana na zaidi nakuheshimu. Salute you dada

Senkyu so much mkuu kwa salams.
Mi penda wewe pia na kila la heri 2015.
 
Last edited by a moderator:
Ahsante sana Kamanda Mwita Maranya.

Unayo haki ya kupumzika na kuusubiri mwaka mpya kwa sababu umefanya kazi tukufu kiasi kwamba imempendeza Bwana na ameibariki.

Salamu nyingi kwa mama Robi na karibuni Ta kwa bibi!
 
Last edited by a moderator:
Kweli Karucee umemsahau babu?

Sawa bwana, karibu kwa Bibi tuukule mwaka mpya!
 
Last edited by a moderator:
Asanteni nyote mlionikumbuka. Mwita Maranya umepotea sana mwaka huu natumai utaonekana zaidi 2015 kuelekea uchaguzi wa kihistoria.
 
My dear hubby Mwita Maranya na familia yetu kwa ujumla asante sana kwa salamu za upendo na kuwa sehemu ya maisha yangu kwa mwaka 2014.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom