Heri ya Christmas kwa rafiki Mrembo by Nature..
Wish you full happiness..
Shukran mdogo wangu kipenzi...nakupenda sana 🙂 nawe nakutakia kila la kheri la mwaka huu ujao!
Na mie ninapenda kusema Merry Xmass kwanza kwa mama wa mapacha wangu Paloma.. kisha kwa kiwatengu na mkewe shansarie.. Arushaone na ubavu wake Lady doctor.. Erickb52 na mkewe Chocs.. Bishanga na mkewe The secretary.. Mr Rocky na ubavu wake Dena Amsi.. my small house babe Passion Lady na kibuzi chake Ruttashobolwa.. Nivea (miss u cwry)..
Pia ziwafikie dada yangu Heaven on Earth (miss u sis).. KOKUTONA.. Preta.. marejesho.. Kaizer.. Mentor.. kabanga.. Bujibuji (mzee wa mtaroni).. DEMBA.. kingasti.. Evelyn Salt.. charming lady.. Tyta.. Mamndenyi (mama chama).. Mshana Jr.. lady furahia.. Madame B (mama wa saccos kadhaa).. Asnam.. Mpwa Elli.. Baba V (anatafutwa kokote alipo).. KakaKiiza.. Ennie.. Eiyer.. Vin Diesel (umebaniwa kona gani sku hizi)..? Avanti.. Excel.. Ablessed.. Karucee.. TANMO.. Khantwe.. Nazjaz.. miss chagga.. miss neddy.. Honey Faith.. YNNAH.. @gfsown..
Special greetings kwa Mtambuzi.. The Boss.. OKW BOBAN SUNZU.. Daudi Mchambuzi.. EMT.. Matola.. Nyani Ngabu.. Babu Asprin (hondo hondo mlezi wa wana) lara 1.. ASHA dii.. Kiranga.. Crashwise.. Safari_ni_Safari.. Kaunga. Jasusi.. figganigga.. watu8.. Mwita Maranya.. Abunuas.. Ben Saanane (ugua pole kamanda).. Kongosho.. christine ibrahim.. grafani11.. Dingswayo.. zumbemkuu.. BAK.. LIKUD.. Kibanga Ampiga Mkoloni.. Ndahani.. Jerrymsigwa.. MUSSOLIN.... faiza Fox..
Bila ya kusahau uongozi mzima wa JF tukianzia kwa Mr. Melon a pia Invisible pamoja na Paw na wengine wote ambao sijawataja hapa..
Ninawatakia sikukuu njema ya mwisho wa mwaka.. Ninashukuru sana kwa kuwa nyote hapa mmekuwa ni sehemu ya maisha yangu kwa mwaka huu unaoishia..
Merry Xmass Guys & Happy New Year..
asante sana mkuu
thanks sana kwa salamu kiwatengu na mkeo...napenda kuwakumbuka kwa michango na jokes zao ,.holiday njema woote na MUNGU awape baraka zaid kwa mwaka ujao.. Mokoyo now umehamia kwa Khantwe jitahid mwakani mmpate mtoto,my special Tized Ntuzu upo kweli? bazazi mpo wapi siwaoni mwekundu Asprin n Kaizer best miss neddy, Honey Faith Dinazarde Tumboo Manka m miss chagga najiulza makani utajiita nani bet kan'tangaze
michango yenu ni muhimu sana Eiyer Watu 8 BAK MUNGU AWABARIK WOTE
Bazazi kaka yako.
Mi mtumishi wa Mungu usiniweke kwenye fungu la wadumisha mila...... Yani labda itokee tu.
Ukiona hivyo ujue ilitokea tu.... Yaani ukinifikiria na kunikubalia.... itatokea tu lakini...... ntakuwa sina jinsi.nyooo mbona unanifuatilia kama fisi akifikir mkono utadondoka???
mila unaumisha sana na hizi sikukuu nadhani huna kitu