kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 19,239
- 17,677
Last edited by a moderator:
Salamu Za Christmass..
Kutoka kwa familia yangu, i mean mimi, my wife shansarie and our two daughters...
Ziwafikie wanajamii wote kwa ujumla wenu..
Marafiki zetu wote wa mbali na wakaribu..
Wake kwa waume..
mamaafacebook pokea salamu zetu tena..
Mtoto halali na hela pokea salamu na hongera kwa kuamua kuwa mpweke(single)..
Wana teamrafiki kwa ujumla wenu.. Mr Rocky na mkeo Dena Amsi, Ntuzu na mkeo Khantwe, Tized na Kasinde kabanga na mkeo MankaM(itakuwa rasmi soon), utafiti na mkeo miss neddy.. Honey Faith na mumeo Rogie(braza kuna mtu anakuibia) Husninyo and Katavi.. ICHANA and Mokoyo..
Jawilat na Tuko wa Rombo..
My lovely aunt Mamndenyi na wanao wote wa Kilimanjaro na Dar... miss chagga pokea salamu.. tinna cute (ningekuwa sijaoa ungenihusu)..pokea salamu..
kan'tangaze babe..pokea salamu mwallu na mumeo Mentor..pokea salamu Kaizer na mkeo DEMBA pokea salamu Munkari na followers wako wote.. Tumboo na First Born(not a bond)
My friends.. Heaven on Earth, angelita KOKUTONA..with love pokeeni salamu zetu!!
Mkuu Mndengereko pokea salamu, nitafurahi once tukifika pamoja pale Uhuru peak..
Team Arusha wing.. arusha one na mkeo Lady doctor Erickb52 na mkeo Chocs..
Preta marejesho
'Valentina' na Eiyer (paroko usiruke hii) black woman.. Mzee wa Rula
Mwenyekiti PakaJimmy pokeeni salamu
My friends of Mtwara.. MMAHE THE BIG SHOW na mkuu @siziga
Pokeeni salamu zetu...
Wanamanyara wote muishio ndani na nje ya nchi.. measkron na mumeo watu8 pokeeni salamu zetu za upendo..
Teambazazi.. mwekundu, Nicas Mtei..
Babu Odm Asprin
Na Kibo10, Rich Pol( nyie sio mabazazi)..
Mwanyasi na mkeo janeth1 pokeeni salamu..
daudi1 na angelicous pokeeni salamu, hamjaachana kiroho bado.. charty my dear accept my greetings... kichunafk.. Mafikizolo warembo..pokeeni salamu zetu za christmass na mwaka mpya..
Passion Lady na husband wako Ruttashobolwa..tunawasalimu
Teampicha Tyta mshana jr charminglady
Pokeeni salamu zetu.
sosoliso na mkeo Paloma.. Slave Na mkeo Evelyn Salt pokeeni salamu zetu..
My friend Karucee pokea salamu zetu and sorry for what i did.(samehe tena)..
ladyfurahia receive our season greetings..
Mkuu Nyani Ngabu
Kiranga
Mzee Mwanakijiji Dark City Matola, lara 1 ram Madam B MO11 amu
Na members wengine woote...
We Wish you Merry Christmas and Happy New Year 2015...
happy holidays mkuu.
Mapumziko mema ya mwisho wa mwaka
Hizi salamu zangu kwanza kwa wake zangu AshaDii gfsonwin na DEMBA. Kisha nawatakia unywaji wa afya sikukuu hii Fidel80 Teamo Bigirita RR MwanajamiiOne Asprin KakaKiiza amu Khantwe ladyfurahia
Nawatakia sikukuu njema le mabebz wote wa hapa MMU wakiongozwa na super le mbebz masai dada, miss neddy kichunafk sister ICHANA mamaafacebook Ennie Eshy m.s Kim nana Honey Faith Evelyn Salt Husninyo Preta farkhina na super le mutindiz wote.
Bila kuwasahau ma super men wa hapa kina utafiti Tyta mnengereko Dark City mzee mwenzangu wa mwaka 47 moto ni ule ule, Arushaone Mzee wa Rula PakaJimmy Filipo asakuta same na wengineo.
Walimu wangu snowhite na Madame B nawakumbuka sana mwaka.kesho ntaanza form one.
Karibu sana
Mke wangu yuko poa..
Amen! Salamu ziwafikie wana JF wote popote pale walipo. Nawatakia kila la heri ktk sikukuu hii ya Noel na heri ya mwaka mpya 2015. Mungu awape kila lililo jema kwa mwaka ujao wa 2015
asante sana nawe pia
Kaka umomi??
Uchidachi nnumbwangu
Asante mkuu,
Ule mpango, soon after holidays naupandisha..