Holiday Greetings, Tuma salaam

Holiday Greetings, Tuma salaam

Ahsante sana rafiki furaha yako ndio furaha yangu. Kila la heri na baraka tele katika sikukuu hii tukufu na mwaka mpya wa 2015 kila ulitakalo lifanikiwe kwa kiwango cha juu kabisa uwe na afya njema wewe na jeshi lako lote.

Asante nilikua sijauliza watoto kama kuna mzigo wangu sasa hivi ndo wameniita na kunionyesha baraka za mwaka mpya zikakuzunguke kama mawimbi
 
Ahsante sana rafiki furaha yako ndio furaha yangu. Kila la heri na baraka tele katika sikukuu hii tukufu na mwaka mpya wa 2015 kila ulitakalo lifanikiwe kwa kiwango cha juu kabisa uwe na afya njema wewe na jeshi lako lote.
Asante usiache kutuwekea hekima za mwalimu hasa kwa kipindi tunachoanza cha kuelekea october 2015. Tunahitaji mno kusikia maneno yale unajua wengine sie ni slow learner so uwe unarudia rudia usichoke somo litatuingia tu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ahsante sana Rafiki nitajitahidi kufanya hivyo tuombe uzima. Uchaguzi huu ujao ni uchaguzi muhimu labda kuliko chaguzi zote zilizowahi kupita. Kwanza vyama vya upinzani vimeamua kushirikiana kwa hali na mali kuelekea uchaguzi huu wa 2015. Pili ufisadi na uhuni umekithiri nchini hadi watendaji wakuu hawana woga tena wa kugawana pesa za wizi hadi ndani ya Ikulu. Madudu mbali mbali yanazidi kushamiri kwenye kila sekta muhimu nchini hata wafadhili kwa mara ya kwanza kugoma kutoa msaada wa $1 billion katika mwaka wa fedha wa 2014/2015. Hivyo kwa maoni yangu uchaguzi huu ujao Watanzania tuna nafasi nzuri sana ya kuwaondoa hawa wahuni na mafisadi nchini. Haya rafiki tusiendelee kuuchakachua uzi wa sikukuu.

Asante usiache kutuwekea hekima za mwalimu hasa kwa kipindi tunachoanza cha kuelekea october 2015. Tunahitaji mno kusikia maneno yale unajua wengine sie ni slow learner so uwe unarudia rudia usichoke somo litatuingia tu.
 
Ahsante sana Rafiki nitajitahidi kufanya hivyo tuombe uzima. Uchaguzi huu ujao ni uchaguzi muhimu labda kuliko chaguzi zote zilizowahi kupita. Kwanza vyama vya upinzani vimeamua kushirikiana ka hali na mali kuelekea uchaguzi huu wa 2015. Pili ufisadi na uhuni umekithiri nchini hadi watendaji wakuu hawana woga tena wa kugawana pesa za wizi hadi ndani ya Ikulu. Madudu mbali mbali yanazidi kushamiri kwenye kila sekta muhimu nchini hata wafadhili kwa mara ya kwanza kugoma kutoa msaada wa $1 billion katika mwaka wa fedha wa 2014/2015. Hivyo kwa maoni yangu uchaguzi huu ujao Watanzania tuna nafasi nzuri sana ya kuwaondoa hawa wahuni na mafisadi nchini. Haya rafiki tusiendelee kuuchakachua uzi wa sikukuu.
Kweli tusichakachue lisiredi la watu ila uchaguzi ujao wapinzani wanapaswa kuanza kuclear makosa yao na wayakubali ili waweze kurekebisha . Namshukuru Mungu sherehe imekua njema sana kwetu na majirani zetu kwani ni amani tu hakuna aliyeumia .
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mungu ashukuriwe sana kwa hilo. Mimi pia ni furaha tu hapa nyumbani na kwa majirani zangu pia.

Yaani mtaani kwetu ni vimuli muli tu kila nyumba inashindana na nyingine
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Umeona eeh!!!! mie nimepiga picha nyumba nyingi kweli ila kuna moja huwa wananimaliza kusema kweli kila mwaka vimulimuli vyao huwa vya kukata na shoka huwa vinapendeza kupita kiasi. Saa nyingine nikipita kwenye nyumba ile huwa nasimama ili kushangaa shangaa lol!!! Kwangu nami nimeweka vimuli muli vya ushahidi lol!!!!

Yaani mtaani kwetu ni vimuli muli tu kila nyumba inashindana na nyingine
 
Hahahaa unamuonea binamu yangu kabanga.... Hata yeye mbona anaheshimu 'binamu' zake sema yeye oppurtunities zinazojitokeza anaztumia effectively

Anaanzaga kama hivyo.. "binamu pilau pilau".. Mtaani kwao kabanga anaitwa diego costa.. Hujiulizi kwanini na mpira hachezi..😉
 
Last edited by a moderator:
Anaanzaga kama hivyo.. "binamu pilau pilau".. Mtaani kwao kabanga anaitwa diego costa.. Hujiulizi kwanini na mpira hachezi..😉

Hahahaa lol unamsingizia binamu yangu lol
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom