Holiday Greetings, Tuma salaam

Yule shoga angu...we subiri aje nimpe mipango mikakati....tena nikudokezee "dawa yako limbwata tuuu"



Hahahaaaa mtaniua jamani na Hilo limbwata! Yani ukinipa limbatwa na kzn nakua siendi nakaa ndani tutizamane tu!
 
Hahahaaaa mtaniua jamani na Hilo limbwata! Yani ukinipa limbatwa na kzn nakua siendi nakaa ndani tutizamane tu!

Sa we endelea kujishaua...Tena ntampeleka kwa MziziMkavu ampe limbwata la mjusi....hehehee ukichomoka hapo labda uwe chizi...

Kama unabisha muulize MziziMkavu akupe habari za hilo limbwata...
 
Last edited by a moderator:
Kaka!! asante sana i will passby ila itabidi nibadillishe kinywaji..
Huu msimu ni wa mbege baridi..

Heri ya Christmas na mwaka mpya!!

hahahaha sawa mkuu kiwatengu asante sana na karibu sana mji jirani hapa aise
C6 asante sana mkuu nikija mwanza aise nitakutafuta sana na msalimie sana charminglady
 
Last edited by a moderator:
Ni sawa na kumtsha mtu mzima nyau jApo sijatizama video

Hayaaa weee...Mie Nina neno kwani?

Ila kumbuka mpambe nuksi kuliko mwenye Mali...Me ndo ntakuwa nakwambia "Mama Fb kalia chupaa" huku Khantwe anakunyoaa...
 
Last edited by a moderator:
Hayaaa weee...Mie Nina neno kwani?

Ila kumbuka mpambe nuksi kuliko mwenye Mali...Me ndo ntakuwa nakwambia "Mama Fb kalia chupaa" huku Khantwe anakunyoaa...

Hahahahaaaa....kalia bwana...chupa si kama nanihii tu??
 
Last edited by a moderator:

Najua hapo kwenye jukwaa la wakubwa nipo.
Asante sana shemeji kula....
 

Asante sana mpenzi ladyfurahia kwa salamu zako za upendo kwangu.
Nawe nakutakia mafanikio mema kwa mwaka ujao wa 2015.

Merry Xmas & Happy New year my dear.
 
Last edited by a moderator:

Asante sana mwanafunzi wangu mtukutu Kaizer, naomba mwaka ujao uwe pole darasani.
Asante kwa salmu zako zilizojaa unono kwa walimu wako.
Nami nakutakia mwaka mpya 2015 wenye mafanikio lukuki.

Njoo tu darasani, Ila usisahau ada.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…