asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,039
Hupati kitu hapa Dada Evelyn Salt....mkweee Kim nana nmepokea salamu kwa mikono miwili nakutakia sikuu njema pia ila untumie ka mpesa nimpikie mchumba ako pilau na beberu!!!
salamu zingine zimfike Preta popote alipo, binti mwenye mivuto yake Husninyo, Khantwe nawe nakusalimu!!!
wazee wa pm kwa pamoja nawasalimu na kaka angu asakuta same nakutakia sikukuu njema mwayego naomba zawadi....
Nashukuru kwa salam za sikukuu , na wewe pia zikufikie.
Last edited by a moderator: