Holiday Greetings, Tuma salaam

Holiday Greetings, Tuma salaam

Salamu zangu ziwaendee mumy & daddy measkron , watu8 nashukuru kwa hekima zao kwa busara za kwa onyo zao hasa daddy kuna wakati alinikana lakini baadaye akanirudia mwanawe na kunisamehe kwa vituko nilivyomfanyia si unajua atena tunaoishi na madaddy karibu full kudeka,

Sitawasahau ndugu zangu wa ukweli waliofanya baraka na furaha kwangu kuwapa salamu za sikukuu njema na mwaka mpya mwema nao ni Passion Lady, charminglady na mumewe C6 , Lady doctor na mumewe Arushaone, sweetlady WiseLady, FirstLady1 na Focuslady Mungu awe nanyi awape baraka tele

Siwezi kuwa mwingi wa fadhila kuwakumbuka hawa wafuatao hasa mume wangu muuza ubuyu, mke mwenza Khantwe,

Marafiki wa karibu sana nami Ntuzu, kabanga, Mamndenyi, Mtambuzi, Paloma, Heaven on Earth, sister, mwallu, mshanajr, stevoh, KakaKiiza, MANI, Madame B, AshaDii, Mphamvu, Chabruma, Kaizer, miss neddy, Munkari, (ILA HUYU BABU MMMHM Asprin ODM,) madame X, Excel, miss chagga na wale w0te wanaofuatilia thread zangu humu mjengoni na kukoment kwa ujumla nawatakia siku kuu njema na mwaka mpya mwema Mungu awalinde na kuwabarikia na kuwaongezea mkose nafasi ya kuiviweka vingine.
 
Last edited by a moderator:
Thanx mke mwenza kumbe siku hizi umehamia kwa muuza ubuyu opss....too bad competition imepungua. Af pale juu ni daddy and mumy bhana
..mumy and daddy ndo couple ya wapi hiyo😛😛😛
 
Last edited by a moderator:
Hizi salamu zangu kwanza kwa wake zangu AshaDii gfsonwin na DEMBA. Kisha nawatakia unywaji wa afya sikukuu hii Fidel80 Teamo Bigirita RR MwanajamiiOne Asprin KakaKiiza amu Khantwe ladyfurahia

Nawatakia sikukuu njema le mabebz wote wa hapa MMU wakiongozwa na super le mbebz masai dada, miss neddy kichunafk sister ICHANA mamaafacebook Ennie Eshy m.s Kim nana Honey Faith Evelyn Salt Husninyo Preta farkhina na super le mutindiz wote.

Bila kuwasahau ma super men wa hapa kina utafiti Tyta mnengereko Dark City mzee mwenzangu wa mwaka 47 moto ni ule ule, Arushaone Mzee wa Rula PakaJimmy Filipo asakuta same na wengineo.

Walimu wangu snowhite na Madame B nawakumbuka sana mwaka.kesho ntaanza form one.
 
Owh asante sana kwa salam Kaizer
 
Thank u Kaizer....nasubiria dhawadi lol
 
Last edited by a moderator:
Hahah Kaizer kumbe huku sio kule yaan nlishajifunga kubwebwe mtoto wa kibondei maana ngeucheza mdumange pasipo ngoma yake aisee.... haya nakubali kuitwa mnywaji kama ni nickname ya mchepuko concrete.

Hayo matangazo hayo...kibdondeim
Mdumange sijui kibwebwe kuna watu utawaona inbox sasa hivi mi sipendi..twende taratiib u know
 
Back
Top Bottom