Holiday Greetings, Tuma salaam

Kwa umoja wetu tumeweza kufika hapa tulipo kwa kutakiana HERI HII to me you are all beautiful creatures to whom I idore with so much appreciations


Niwaombe radhi kuu kwa wale ambao kwa njia moja tulikwazana au walikwazika na post zangu hakuna mkamilifu nami sipungui katka hilo hivyo napenda kusema tena
 
nashangaa mwaka umeisha eti, nahisi kama mwaka ungekuwa mrefu sana kama kusingekuwa na watu walionizunguka na kuwa nami pamoja katika furaha na huzuni, wapo waliokuja na tukaachana katikati ya safari wote nasema thank you, naomba nichukue fursa hii kuwatakia heri wafuatao,

kwanza kabisa mke wangu kipenzi charminglady huyu ndie memba wa Mwanza wing nnaeonana nae sana kuliko wote, pia salamu ziende kwa dada angu Elizabeth Dominic daaah sina hata cha kusema wewe ni ndo mchizi waaangu, bila kumsahau baba mkwe watu8 na mkewe, dada mkubwa Fixed Point nikupe nini dadangu nakutakia wewe na familia yako holiday njema pia hongera kwa achievement uliyofikia, pia siwezi msahau dadangu KOKUTONA japo uko busy huko uliko but i hope utazipata salamu,

kheeeee nilitaka kumsahau mwallu aka muke ya Mentor asee nawatakia holiday njema asee..pia nisiwasahau wageni waliotutembelea Mwanza wing, Maxence Melo na mkeo, Mtambuzi, marejesho na wengine ambao sikuwataja jamani karibuni sana, marejesho ukija tena usimsahau Preta na Mr.rocky

kuna watu kama kina masai dada nna bifu na wewe ila nakutakia sikukuu njema, tall gal upoooo? sikukuu njema popote ulipo, ladyfurahia pia salamu zikufikie..

marafiki zangu kina Chimbuvu Nyasiro, Chief-Mkwawa @given edward na wengine wooote wa jukwaa la tech happy holidays guys.Mwisho kabisa salamu ziwaendee wana jf wooote mnaosoma bandiko hili. Nawashukuru wote kwa kugusa maisha yangu kwa njia moja au nyingine kwa huu mwaka 2014, natumaini mwaka ujao utakuwa wa mafanikio na furaha tele


Ho..ho..ho meeeery christmas and happy new year
 

nikirudi nikute zawadi yangu
 
Last edited by a moderator:

najua hilo nitakutafuta tumalize hilo kabla mwaaka haujaisha
 

Kaka!! asante sana i will passby ila itabidi nibadillishe kinywaji..
Huu msimu ni wa mbege baridi..

Heri ya Christmas na mwaka mpya!!
 
Last edited by a moderator:

Waoh..thank you much my best friend..
Kisses kisses to u..
Merry Christmas
 
Last edited by a moderator:
Maneno mazuri haya mamaafacebook

Kweli wewe mtoto Wa kitanga! Naanza kuhisi kukudondokea!

 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…