Holiday Greetings, Tuma salaam


zimefika binamu mamaafacebook.....
 
Last edited by a moderator:

Hahaaahaa, nakuelewa saaana

Erickb52 yupo.... Atakuja
 
Last edited by a moderator:

Thank you Mr Rock
 
Last edited by a moderator:
Salamu zangu za dhati kutoka ndani ya uvungu wa moyo wangu nazirudisha kwako Mr Rocky.....nitakuwa mchoyo wa salaam kama nikimsahau best yangu kipenzi Mafikizolo.......nitakuwa mjinga kupindua kama nitawasahu dada zangu wa hiari Khantwe miss neddy Madam B ladyfurahia masai dada ............ngoja nikale kwanza nitakuja kumalizia wengine ugali unapoa......
 
thanks much kwa kunikumbuka,nakutakia x-mass njema na heri ya mwaka mpya usisahau kualikana kwa pilau.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…