Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,261
I think the topic is crap
I think the topic is crap
Naomba niweke wazi kitu kimoja hiyo mia tano inayoonekana kama tunaipinga kwa wivu si kweli kwani kama matumizi yake ni kusaidia wajane na masikini biblia imesema "[FONT=Bookman Old Style, Times New Roman, Times Roman, Serif]Uzeni mali yenu mkawape maskini misaada. Jifanyieni mifuko isiyochakaa, na jiwekeeni hazina mbinguni ambako haitapungua. Huko wezi hawakaribii, wala nondo hawaharibu, [/FONT][FONT=Bookman Old Style, Times New Roman, Times Roman, Serif]Pale ilipo hazina yako, ndipo pia utakapokuwa moyo wako.[/FONT][FONT=Bookman Old Style, Times New Roman, Times Roman, Serif]" Luka 12:32-33[/FONT]
Mimi na wewe Miss Judith tunachokipinga ni kuwapa "kikombe" bila kuwapa neno la Mungu hata biblia imesema [FONT=Bookman Old Style, Times New Roman, Times Roman, Serif]"Mtumishi ambaye anajua matakwa ya bwana wake lakini hajiweki tayari kufanya anavyotakiwa, atapigwa sana".[/FONT] Luka 12:34 ndio maana mimi na wewe tunampinga babu si kwa kuwa anapokea mia tano ila kwakuwa hawapi watu chakula cha roho hafanyi anavyotakiwa kufanya!

tuko pamoja mkuu,
watu wanasema tuna wivu na biashara ya babu, mara wengine wanauliza kuwa hatuwaoni akina mwingira, kakobe, rwakatale, gwajima nk. hawakioni tunachokihoji. hawazingatii misingi ya maandiko tunayonukuu wala hawajali kama hata wachawi, wanga, wala rushwa, makahaba, majambazi nk wanakunywa dawa na kurudi kufanya maasi yao kama siku zote. na wengine wamepewa wakiwa ndani ya magari na kisha kugeuza magari yao na kupotea bila walau maneno mawili matatu ya kiroho! hapo lazima mtu yoyote ajuaye maana ya dini ajiulize mara mbili kuwa hii nihuduma ya aina gani?
Mungu apange bei ya karama yake ya uponyaji na asijihusishe kwa kiwango chochote na uponyaji wa roho! hakuna jina la Yesu linalotajwa pale zaidi ya jina la babu mwenyewe na jina la mti wake wa tiba.
kwa kweli kuna mengi sana ya kuhoji na nakushukuru sana kwa kuendelea kutafakari bila kuchoka kuhusu hili suala. tuko katika nyakati za hatari sana mpendwa
ila nashukuru wapo baadhi wameanza kuelewa tunachokongea, wapo waliokuwa wanaogopa kusema waziwazi lakini baadaye nao wameonyesha waziwazi kutokubaliana na mpamgilio mzima wa mambo huko kijjini na kuyahusianisha na Yesu ama dini, tena wengine wameongeza sana uzito wa kimaandiko na umekuwa msaada na mwangaza mkubwa sana.
kwa kweli nawashukuru sana wapendwa wote waliochukua muda wao kusoma maandiko, kuyatafakari na kutushirikisha hapa jamvini kwa faida ya wote. mbarikiwe sana wapendwa.
safari ni ndefu mpendwa lakini naamini hatimaye kweli itashinda
nakutakia siku njema na tafakari njema
asante na Mungu akubariki sana
Miss Judith may i know where you worship? I means your church
Miss Judith, toka mwanzo unampinga sana huyo babu, ushayri mfupi tu, waache wenye matatizo waende wakatibiwe, hospitali unalipa kiasi gani that ulalame sh 500? Na 500 yenyewe inayoenda kanisani huoni hata haya kusema eti masharti? Dada amini unachoamini na wengine waamini wanachokiamini acha kulalama ovyo kila siku, so far una hakika gani unachoamini ndo sahihi zaidi kuliko wengine huh??Acha watu wanaoteseka na magonjwa wakatibiwe km dawa inatibu acha maswali ya kipuuzi eti kuchemshwa..so unatala watafune mzizi km ulivyo?? I guess utakuwa wa mlokole wa makanisa binafsi wewe ndo huwa wako so selfish!!
Mimi Mzee nakuandikia wewe Bimkubwa mteule, pamoja na watoto wako ninaowapenda kweli. Wala si mimi tu ninayewapenda, bali pia wote wanaoujua ule ukweli wanawapenda ninyi. Yohane 2:1
Judith hija yake ni kuwa wanaoenda kwa babu baada ya kupata kikombe hawapati neno la Mungu isije ikawa ni tamaa ya kupata matibabu kwa pesa ndogo kwani hata bilia inasema "Tamaa ikiiva huzaa dhambi; nayo dhambi ikikomaa huzaa kifo. Yakobo 1:15".
Heshima kwenu wanajamvi,
Si kawaida yangu kurejea kwenye mada niliyoichangia lakini baada ya kuipitia tena na kusikiliza maneno ya mitaani nimeona si vibaya nikarejea tena kuchangia hii mada.
Mwanzo nilisema wanaopinga huduma ya Babu wa Loliondo wa wanasumbuliwa na wivu hawana hoja za maana za kumshawishi mtu mwenye akili zake ambaye hajawahi kusumbuliwa na magonjwa ya akili kuacha kufuata huduma ya Babu.
Nimegundua mambo mengi kwanini wapo wapinzani wengi wa huduma ya Babu.
[1] Tofauti za kimadhehebu ni sababu kubwa inayotumuiwa na baadhi ya viongozi wa madhehebu ya kikristo kuwatisha waumini wao wasiende kupata tiba ya Babu.Madhehebu mengi hasa Assambless of God waumini wake wengi walikuwa wakiabudu aidha Catholic,Lutheran au Anglican.Waumini wamejazwa ujinga kwamba uponyaji kamwe hauwezi kupatikana nje ya dhehebu lao yaani Pentecoste/Assembless of God.kwakuwa Babu wa Loliondo ni mchungaji mstaafu wa Kilutheri dhana kwamba hakuna upako au uponyaji inaendelezwa sana na kukuzwa.
Nitatoa mfano mmoja kukazia hoja yangu,Mwalimu C Mwakasege ni muumini wa kanisa la Lutherani wakati anaanzisha huduma yake [Maana] alikumbana na upinzania mkali kweli kwanini hajahama dhehebu la Lutheran ambako hakuna upako /Yesu na nk.Mwalimu Mwakasege alikuwa akiwajibu vizuri sana baadhi ya wakosoaji wake wakubwa kwamba Yesu hakai kwenye Madhehebu wala hakuna dhehebu liloanzishwa na Yesu kila mtu anayeokoka abaki kwenye dhehebu lake.Ukishangaa kwanini Askofu Mtume na Nabii Mwingira anamwandama Babu utakuta ni dhana ile ile ya haya madhehebu kudhani Mungu yuko kwenye madhebu yao tu mengine ni wasindikizaji tu.
Nilihudhuria mkutano wa Injili wiki iliyopita nilishangaa mhubiri alikuwa akitumia muda mwingi kumkosoa Babu badala ya kumuubiri Kristo.Kila kipengele kuhusiana na babu kilichambuliwa kwa namna ya ushabiki wa ajabu kiasi waumini/wasikilizaji wakakosa amani ya kuendelea kumsikiliza mhubiri.Shilingi mia tano anayotoza Babu ilijadiliwa kiasi kwamba hata wenye sadaka ya 500 walishindwa kutoa eg ina alama ya nyoka na nk.
Mwisho Babu wa Loliondo hajamlazimisha mtu au watu wamfuate ikiwa moyo wako unakukataza kwenda kupata tiba sawa lakini habari za kumzushia Babu ni vyema zikaachwa kabisa watu,ndugu na jamaa wamekwenda wamepata tiba/kikombe wamepona magonjwa sugu yaliyowasumbua na kuwatesa kwa muda mrefu chuki za nini mbona mlikuwa mnanunua vitambaa vya Mama G Lwakatare,Mlikuwa mkombewa na Mzee wa Upako mkatia fedha nyingi kwenye A/C yake binafsi haikuwa nongwa.Babu habagui anatoa kikombe kwa watu wote Waislamu kwa wakristo bila kukulazimisha kufuata dini anayoiamini punguzeni chuki maana najua kuacha kabisa haiwezekani.
Wiki ijayo mvua ikipungua nakwenda kupata kikombe cha Babu !!!!!!!.
kama huiamini tiba yake stay back and mind your own stuffs! He is not forcing anyone not even advertised! Sasa kama wewe huitaki so what? Kill him then....!
Kumbuka shida haina adabu. Waliojaa kwenye Makanisa ya kina Kakobe, Rwakatare, Fernandes, Mzee wa upako "Mitume" na "Manabii" ni watu walioelemewa na msalaba kiasi cha kuitafuta ahueni popote. Walikimbilia kwenye makanisa hayo kusaka miujiza wenye nayo wanayoinadi, miujiza ambayo baadae waligundua ni hila na ulaghai na usanii kibao wakiambulia kukombwa mamilioni na baadhi kufilisika.ndugu pakajimmy,
hatukejeli wanaopata faraja huko kwa babu kutokana na magonjwa na madhaifu mbalimbali, la hasha. tunawashauri wapendwa wetu wasome na kufahamu ukweli juu ya nini yaliyo mapenzi na makusudi ya Mungu kama yalivyobainishwa ndani ya biblia na wapime na kujaribu kila roho kama inatokana na Mungu.
hivi kuna mtu huko samunge aliyepata majaribu kumshinda ayubu? mbona ayubu alikataa kumkufuru Mungu? iweje maelfu huko samunge wawe tayari kumdhihaki Mungu kwa sababu ya BP, cancer, ukimwi nk, eti kwa kupokea kikombe cha mchungaji mstaafu!
mwenye imani ya kweli na iliyojengwa kwenye neno (siyo iliyojengwa kwenye miujiza) atamtukuza Mungu hata apate mateso kiasi gani. atamtukuza Mungu hata katikati ya mateso, naam hata kama atamiminwa damu na kufa kama shahidi (martyr). imani yenu iko wapi sasa?
mimi niko tayri kuishi na majaribu ya ukimwi na mengineyo sugu lakini sio kumkufuru Mungu kiasi hicho cha samunge. ee Mwenyezi Mungu naomba nisaidie
Glory to God
Ingawaje aliwahi kujibu yeye ni mlutheran lakin mwenendo wake unaonyesha sio lutheran.
Yaani ukiangalia wengi wanaompinga Babu ni watu wa madhehebu tofauti na Babu, hasa hasa wale wa Efatha, FBFC kwa kakobe na type zingine kama hizo ndio wanaongoza kwa kutapatapa.
Yaani Babu amewatikisa kisawasawa na wao si tu kwamba wametikisika, bali wamepukutika mpaka manyoya, sasa wako uchi wanatafuta nguo za kujisitiri hapa JF
hivi kama ana watu zaidi ya elfu 4 wanaosubiri kutibiwa unatarajia akianza kutia neno kwa mmoja mmoja anamaliza lini? Its so very clear toka mwanzo babu anaongelea tiba na imani, sasa mnataka hadi mahubiri mpewe, mnayohubiriwa kila jumapili hayawatoshi? The fact is dawa ameiombea so unapokunywa kwa imani that mungu amekuponya unapona..whats so complicated hapo? Acheni kujudge imani za watu, miss judith hata siku ya hukumu sisi walimwengu unaotusikitikia tutakupungia mkono ukiwa unaingia jehanam na bikira yako, na sie peponi including babu...
Nitashangaa kama Wapentekoste watakuwa wametikiswa na huduma ya babu. Lengo kuu la Upentekoste ni kuokoa na kuponya roho za watu zimrejee Bwana na kuufikia uzima wa milele. Upentekoste unaongozwa na roho aliye hai - ni zaidi ya mwili ulio hai. Uponyaji wa mwili ni jambo/lengo la muda mfupi kwa ajili ya kudhihirisha utukufu wa Mungu tu na si mwisho wa yote. Ndio maana miujiza si huduma kuu katika Ukristo (ingawa wako wanaoona hivyo). Sasa kama kweli huduma ya kiroho itazidiwa na huduma ya uponyaji wa mwili basi suala la kujiuliza ni kama kweli kazi ya Bwana inafanywa katika kweli yake badala ya kulinganishwa na biashara za kidunia zinazopimwa na ukubwa wa soko (idadi ya wafuasi) bila kujali "thamani halisi" ya soko hilo. Hapo Babu anaweza kuwa amepatia kuwaambia baadhi ya viongozi wa dini kwamba wako kibiashara zaidi.