BinSalum7
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 1,678
- 3,732
Asee wewe ni muoga sana mkuu!Mpaka hapa nimesalimika,
Sina HIV na hofu nimeivua rasmi kuanzia Leo.
Yule dada msengerema sana na atakuwa kawaambukiza na anaendelea kuwaambukiza wengi virusi Kwa makusudi kabisa
Jamani sio Kila unaekutana nae mzuri ni wakupapatikia kapieni kwanza kabla ya kudunguana kama huwezi kutumia condom, hofu niliyokuwa nayo laiti kama ningeambukizwa na ikawa confirmed HIV+ sidhani kama ningemaliza mwaka sijafukiwa kaburini