Emen
JF-Expert Member
- Jun 22, 2021
- 1,945
- 3,200
Mkiishiwa pointi huwa mnakilimbila kusema hio kauli, "jidunge sindano yenye damu ya mwenye ukimwi kama huamini". Na si ww tu bali wote mnaoabudu ibada ya ukimwi. Na mkiona mtu hana na mwenza ni +ve utasikia hua anamwandaa vizuri. Yani kama wapiga ramli vile. Sasa mm hua najiuliza kwa hiyo wote wanaoambukizwa wanapewa damu mbovu au +ve wote wanafanya mapenzi bila kuandaana
Mdau hapo juu amekupa mfano mdogo tu, jaribu kumlowanisha mpenzi wako mwenye gono alaf chovya dudu lako tu uondoke. Baada ya siku mbili lete majibu. Sasa kwa nini ukimwi iwe tofauti wakati yote ni STDs.
Wake up you black person
Hivi unafikiri hili la kujidunga damu halijafanywa. Au unafikiri watu wanapinga kindezi tu. Ni utafiti umefanywa broo.
Nikupe assignment, tafuta habari za jamaa anaitwa Robert Wilner. Aliifanya hili hazarani kwa kujidunga damu ya mwathirika. Unajua nn kimpata kutoka kwa wamiliki ww mradi wao.
Kwa taarifa yako hii ni biashara tena inayolipa sana kwa wanaoimiliki. Hivyo hawako tayari kwa mamna yoyoye ile kuona kinyangaragata from no where kikijaribu kuiharibu.
Kitu chengine huwa kinanihuzunisha ni pale mtu akigundua dawa tu wanampoteza