1.Karibu sana,utapazoea ni pazuri,soma masharti ya hapa vinginevyo utakula BAN.
2.Hapa njia ziko nyingi kuna ile ya siasa,biashara, mapenzi na mahusiano na nyingine nyingi, njia hizi waweza kupita bila kibali.
ila kuna njia moja inaelekea panapoitwa. Jukwaa la wakubwa, hapo ukiingia huko ni kivyakovyako.AT YOUR OWN RISK. Ukifika huko utakayoyakuta usimlaumu mtu.Huko unaingia kwa kibali.Mtoa kibali ni mheshimiwa mmoja anaitwa invisible.Wengi mitaa hiyo huitembelea kimya kimya na kutoka kimya kimya. Usiniulize kama nilishaenda mitaa hiyo au la nitakujibu SKUMBUKI.
3.Kuna michango unaombwa kutoa kuchangia JF.Ukitaka wasiliana na huyohuyo mtoa vibali vya kuingia mtaa wa wakubwa.
4.Hapa hatujuani kwa majina halisi wala sura,tupotupo tu,nina zaidi ya mwaka sijamjua mtu jina halisi au sura.
5.KARIBU SANA.,
Ahahahahaah!! Unajua ulimodify id yako kimtindo, ndio maana nikajichanganya.Katavi wewe ni member wa tatu kunikaribisha... naona umenisahau....lol... Ni huyu huyu unaemfahamu... niliongoza kwanza hapa....
Wana JF, Kweli its an honor kua mgeni wa "Great Thinkers"; I believe nitapata meeengi toka kwenu (the IRONY nimeiskia Jamii Forum baada ya mwanasiasa wetu kulalama).
Kama sijakufahamu vile?Nashukuru wana JF. Ina maana nimefika mahala penyewe hasa, mimi mwenyewe ni mana na mke
kama nakukumbuka hivi au nakufananisha? sijui....
..............karibu sana,.............mengi pia toka yanahitajika,............japo mengi yameshapatikana,...............pamoja na salamu za ukaribisho nikutakie eid mubarak...............,karibu sana AshaDii......mi naitwa mwenzetu,si mwenyeji sana,................... .
Kama sijakufahamu vile?
umesomeka mkuu,uwe na amani.karibu kibaraza cha msisiri lol!!!
nimekuelewa.asante kunielewatall nilikua ni mgeni saana uliponikaribisha... Hii post wakati ule sikuichukulia uzito ulostahili... Nimegundua hilo baada ya thread kupandishwa tena na nimeisoma with a new eye... Kikubea lakini nakumbuka kua wee ni mtu wa kwanza kunikaribisha.... Nimeobserve in mosts cases hua tunawakaribisha wageni (mie inclusive) bila ya kuelezea zaidi... Naamini nikitoa shukrani zangu leo utanielewa... Asante saaana.
Pamoja saana adi.