Hodi uwanjani

Hodi uwanjani

Simba mzee

Member
Joined
Oct 21, 2011
Posts
23
Reaction score
3
Kwamda mrefu nimekuwa mshiriki katika jukwa hili kama mpita njia lakini sasa nimeamua kuingia rasmi katika ulingo huu kama mjumbe katika uwanja huu wa magreat thinkers niweze kuchangia na kutoa hoja mbalimbali za kujenga.
 
Karibu sana, mimi naitwa Mwita25 mtu maarufu kuliko wote humu.
 
Ahsante sana kwani navutiwa sana na hoja hasa katika jukwaa la siasa
 
Kwamda mrefu nimekuwa mshiriki katika jukwa hili kama mpita njia lakini sasa nimeamua kuingia rasmi katika ulingo huu kama mjumbe katika uwanja huu wa magreat thinkers niweze kuchangia na kutoa hoja mbalimbali za kujenga.
He! Kweli? Kumbe tulikuwa wawili? Karibu sana ingawa mimi sio wewe
 
Huoni kama mods wataunganisha ID zako hizi za Mpitanjia na Simba mzee? Sheria za JF haziruhusu kuwa na ID mbili.
 
Back
Top Bottom