Hahahaha mkuu ndoto zako ni kiboko.Hebu nitafisirie ndoto hii niliyoiota.
Nimeota nipo na Mh Rais,katika ndoto nilikuwa mtu wake wa karibu. Nilimwona alikuwa na nia njema na Mwenye uchungu na watanzania,lakini Watu wenye nia mbaya walikuwa wakikwamisha jitihada zake,alikuwa anakuwa mnyonge sana,anaumia sana mpaka kuugua. Nilimwonea huruma sana. Alihuzunika sana. Ufitini aliokuwa Mkuu anafanyiwa uliniuma sana.
Niliamka na kushtuka kweli sikuwa na Amani.
Maisha nikayakuta kama kawa yamebana,wadogo zangu wamegraduate hawana ajira,Mke Wangu amepanda vyeo lakini mshahara haibadiliki,tena Toka hii awamu ianze na walishawahi andikiwa barua upya baada ya kuandikiwa upya barua za kupanda vyeo bila sababu na kupoteza madai yao .
Kwa ujumla silikubalini na mambo haya.
Mshana hii ndoto imekaaje? Imeniconfuse!
Uuuwiii mshana mie nimeota nimeenda kwa rafiki yangu nikapewa pilau nyama, baada ya muda nikala pilau kidogo tu.. Nyama nikaziangalia tu sikulaSio mbaya sana basi
UhuuuuJana nimeota nakatwa katwa vipande vidogo vidogo then nikafukiwa chini ya bahari
Aisee nshana Mara 2 nimeota kuwa nakimbizwa na chui ila napata ujasiri wa kugeuka na kumuua. Huwa ninamuua chui na nyoka kwa fimbo nyepesi mnoo! Chui namwagia mchanga machoni kisha namnyonga shingo Yake.Simba ni alama ya kifo shimo ni kaburi... Ni ishara ya kushindwa kwingi katika maisha
Huko kwenye kinyume ni simo[emoji2] [emoji2] [emoji125] [emoji125]Mmh ukisikia ndoto tata ndio hizi ila ndoto nyingi tafsiri yake huja kinyume... Hivyo hayo yote uliyoota yapindue katika kinyume chake
Hatujaelewana...nazungumzia ndoto zile ukilala unaota. Kila mtu anandoto akiwa macho, kama unavyosema....tuzaungumze pale unapokolea usingizini....Nafikiri hujanipata vema... Iko hivi kila mtu ana ndoto za kuwa fulani katika maisha, kumiliki vitu fulani, kufikia kiwango fulani cha elimu nk
But mind you future thoughts and actions sio lazima zile lini hata lisaa moja lijalo tayari hiyo ni future
Utasikia mama chimba hapo kuna mihogoNadhani kuna mada yake.. Hebu ngoja niitafute ila pia walambishe ndimu ndoto za kula na kujitafuna zitakoma.. Between ndoto ni sehemu muhimu kwa afya ya akili na makuzi ila ziwe ni ndoto halisi na sio zile zinazotokana na matendo mabovu ya kibinadamu
Mshana plz... Hebu niambie basi
Mshana plz... Hebu niambie basi
Uko kwenye vita kali ya kiroho.. Nakumbuka tulilijadili hili kwa kina sanaNdoto zinanisumbuaga mno. Mara Niue nyoka, chui au ng'ombe. Mara nikimbizwe na nyuki! Mara niote nahesabu milioni hadi 50 za mapesa! Mara nimuote MTU amekufa? Mara niote manini hayooo! Waiii
View attachment 421080Ni usiku mwingine tena tunapojiandaa kupumzika vitandani mwetu ( hata kama ni ugenini gesti house au barabarani kuna dakika chache utalala kidogo na kuota)
Ndoto njozi na kuota ni hitaji la kawaida la mwanadamu, shida ipo ni je unaona ndoto za aina gani?
-unaota ndoto za kawaida kutokana na harakati za kawaida za kimaisha kutokana na fikra mawazo matendo na maono?
-Ama la unaota ndoto taarifa au ndoto ujumbe au ndoto maono? Ndoto zenye ujumbe maalum?
- Au je unaota zile ndoto zile ambazo si ndoto bali ni matendo ya giza? Ndoto za
Kuota umelazwa kwenye jeneza
Kuota unazama/unazamishwa baharini
Kuota unakula/unalishwa nyama
Kuota unang'atwa na mdudu na unapata maumivu mpaka asubuhi
Kuota unakimbizwa au kufukuzwa
Kuota umefungiwa kwenye kiota chupa nk
Ndoto zote hizi huwa live mpaka asubuhi au unapostuka na unakumbuka kila kitu saa nyingine hata uchovu maumivu na Ladha....!
Ndoto za namna hii si ndoto za kawaida na huambatana na mambo yako mengi kuharibika! Hizi ni ndoto za kufanyiwa mambo mabaya na watu wabaya
Ukiweza jitahidi kuchunguza ndoto zako leo na siku zijazo utagundua kitu View attachment 421088
Nitarejea nikitulia usijali... Nipe mudaHabari mshana Jr
Nimeota njozi moja sijui maaana yake
Nilikua nimelala na mpenzi wangu na nikaota nachunga wanyama wengi sana ila katika hao wanayama kuna mbuzi na mtoto wake mweupe wamenisumbua sana , nikawachapa sana mpaka wakashindwa kutembea
Njozi hii ina maana gani
A hii ni mara ya pili mfurulizo wakati mwingine niliota nachunga ng’ombe na mbuzi ila mbuzi wakawa wasumbufu hawatulii machungoni sijafahamu maana yake
Msaada mkuu
Bro mi naomba kama ikiwezekana nikupigie kabisa nikuelezee vizuri maana hizi za kwangu ni kama movieNitarejea nikitulia usijali... Nipe muda
Ndoto ni mlango wa kiroho unaotumika kuingiza tarifa za ulimwengu wa roho kwa mwanadamuNdoto zinanisumbuaga mno. Mara Niue nyoka, chui au ng'ombe. Mara nikimbizwe na nyuki! Mara niote nahesabu milioni hadi 50 za mapesa! Mara nimuote MTU amekufa? Mara niote manini hayooo! Waiii