Hizi sio ndoto za kawaida

Ukweli kuhusu Ndoto

Huwezi kukoroma na kuota kwa wakati mmoja

Mtu wa wastani huota ndoto 1,460 kwa mwaka
 
Mkuu kuna wakati naota ndoto na kuikumbuka na kuna wakati huwa sikumbuki kabisa.

Ebu fafanua hapo kwa faida ya wengine.
 
Mkuu kuna wakati naota ndoto na kuikumbuka na kuna wakati huwa sikumbuki kabisa.

Ebu fafanua hapo kwa faida ya wengine.
Za kukumbukwa huhifandiwa kwenye store ya ubongo zisizokumbukwa huwekwa kwenye trash.
 
mara nyingi haijalishi ndoto nnayoota iwe nzuri au mbaya ila mazingira hua lazima yawe kwenye nyumba ambayo tuliishi zamani nikiwa mdogo ila tulikuja kuhama, lakini bado ndoto zangu nyingi lazima mazingira yawe yale hii inamaanisha nini
Halafu we uko wapi kwanza
Ningekuwa kitabu kimoja hivi kingekusadia sn
Kinakupa muongozo wa namna ya kutafsiri na kuzielewa ndoto Cha mtumishi wa Mungu Mwal.C.Mwakasege
Au km upo dar nenda ofisi zao pale azania unapata
Sahivi kina matolea 4
We Anza na toleo la kwanza utapata maana zote hizi
 
Halafu we uko wapi kwanza
Ningekuwa kitabu kimoja hivi kingekusadia sn
Kinakupa muongozo wa namna ya kutafsiri na kuzielewa ndoto Cha mtumishi wa Mungu Mwal.C.Mwakasege
Au km upo dar nenda ofisi zao pale azania unapata
Sahivi kina matolea 4
We Anza na toleo la kwanza utapata maana zote hizi
thanks babes
 
Kuna Dada anavaa baibui jeusi la kuficha sura simjui nimemuota kama Mara mbili


Mara ya kwanza nimeota Niko mgahawani (cafeteria) nakula kaja kakaa kwenye kiti karibu yangu ananiangalia nikampa chakula kila nikimuongelesha aongei ananiangalia tu namuuliza jina yupo kimya


Mara pili niliota nimeenda kwenye jumba bovu nakojoa Mara namuona kwa ukumbini kasimama Mara kaanza kunikimbiza kama anapaa kwenye dirisha anavuka kunifikia mi nikaruka chini kutoka baraza ya hilo ghofu maana ni refu nikasepa ye akaruka huko anapaa kunifuata ila kanikosa
Mbona Kama ni adui aliyetumwa kiroho SEMA nguvu yako ya kiroho imekusaidia.
 
Aisee nshana Mara 2 nimeota kuwa nakimbizwa na chui ila napata ujasiri wa kugeuka na kumuua. Huwa ninamuua chui na nyoka kwa fimbo nyepesi mnoo! Chui namwagia mchanga machoni kisha namnyonga shingo Yake.
KIROHO UNA NGUVU KUBWA DHIDI YA UADUI.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom