mshana Jr, hebu ntamfsirie hii ndoto, nmeota nmeshinda gari kwenye bahati nasibu ila wahusika hawakunipa zawadi nliyoshindaSio mbaya sana basi
Kwann unamwambia sio kweli!?Siyo kweli!
Kuota Simba maana yake ni uadui na shimo maana yake huyo adui ni miongoni mwa wanafamilia.
PoleUnatokaje kwenye hali hii kama umekutwa nayo
Achana nae huyo haelewi kitu chaka tupuKuna mahali nimesema ukubali kila ninachoandika... Acha izo wewe... Jibu shimo linakuwaje nyumba kwenye ulimwengu wa roho achana na majigambo ya kujua sana.. Hapa ni hoja kwa hoja sio mipasho... Twende kwa hoja fafanua tetea maandiko yako
Kuna roho ya mautiMzee me niliota nipo ndani ya jeneza.
Kalishwa kweli kinyesi na ndo maana ht aliposhtuka tumbo lilikuwa linamuuma!Mshana Jr na Wadau wengine, poleni kwa majukumu.
Nilikuwa na rafiki yangu mchana wa Leo tukipata lunch, katikati ya mazungumzo akaniambia jana aliota ndoto ya ajabu Sana. Aliota ya kuwa analishwa chakula, wakati chakula kinakaribia kuisha, mwishoni mwishoni anaona kinyesi kwenye chakula kile.
Akastuka kutoka ndotoni, tumbo likawa linamuuma ajabu, lakini Sasa limepoa. Nilikosa majibu, nikaona kwa vile humu Kuna watu mbali mbali na wataalamu wa masuala ya hapa na pale mnaweza kuwa na majibu ya ndoto hii!
Shukrani....
Na ndoto ya kuota uko darasani unasoma tena uko sekondari wakati ulishapita muda mrefu hiyo level inamaana gani nayo?
Suruali ya kijani tenaKuna rafiki yangu kaota kitu kinamvaa usiku, miguu yote ikajaa ganzi, na aliona MTU anakuja kumnyanyua akitokea kwenye kona ya chumba walicholala wengine, mmoja akatupa suruali rangi ya kijani!!! Ndoto hii INA maanisha nini?
Hakina ukweli wowoteView attachment 730589ndoto za shule zilitesa
Hiki kitabilu kina majibu yote
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Siku ukikamatwa hutaamka
Je Mwakasege ni mkamilifu!? Je yeye ni malaika au mtakatifu!?View attachment 730578if ur a christian ,pls ...nakusihi tafuta kitabu hiki kitakusaidia!
Unless utaishia either kupewa tafsir zisizo sahihi or ujumbe utapewa sio sahihi
Mbaya zaidi,solution ndo kabisaa hutapata vile inavyotakiwa
Haha sina muda wa kupoteza kukujbuHakina ukweli wowote
Sijui kwnn umeniuliza hivi!Je Mwakasege ni mkamilifu!? Je yeye ni malaika au mtakatifu!?