Hizi sio ndoto za kawaida

Hizi sio ndoto za kawaida

Kuna rafiki yangu kaota kitu kinamvaa usiku, miguu yote ikajaa ganzi, na aliona MTU anakuja kumnyanyua akitokea kwenye kona ya chumba walicholala wengine, mmoja akatupa suruali rangi ya kijani!!! Ndoto hii INA maanisha nini?
Mmh kuna ndoto huja kinyume, lakini ndoto ya kuhusiana na kuingia kwenye pembe ya nyumba/chumba hiyo ni wanga
 
.
IMG_20180328_221051_989.jpg
 
Mkuu kuna ndoto nimeota Mara bado cjajua tafasri yake naomba msaada wako

1. Nimenunua gari then nikaenda kijijini kwetu, lkn pale kijijini kwetu nikakuta kuna MTU mwingine pia kaenda na familia yake lkn pia ana gari cha ajabu ni mke wake kuinekana kuvutiwa na gari langu na kila mara kulisifia tunaishi jirani. zilipita cku tano baada ya kuota hivi ndio nikaota hii nyingine

2. Niko mbali na nyumbani kwangu, ila pale kwangu wamekuja wageni ambao ni mama yangu na Dada yangu. Hawa wageni wangu nikawapigia CMU kuwaambia kua kuna MTU ataleta gari hapo nyumbani kwangu hivyo wahakikishe anawakabizi documents na kila lkn pia wanipe taarifa gari hiyo ipo ktk hali gani,
Ananipigia agent nakunieleza kua amefika na yupo nyumbani naongea na mama pamoja na Dada wote wanaisifia gari iliyoletwa na kuikosoa gari yangu ya kwanza

NB: nilikua na gari niliyoiagiza Japan lkn nikaiuza baada ya muda Fulani
 
Simba ni alama ya kifo shimo ni kaburi... Ni ishara ya kushindwa kwingi katika maisha
Siyo kweli!
Kuota Simba maana yake ni uadui na shimo maana yake huyo adui ni miongoni mwa wanafamilia.
 
Mimi huwa naota ndoto za manyoka na huwa hayaniumi ila asubuh nkiamka lazima ntakutana na nyoka na ntamuua Mara chache sn wamekimbia yaan ndoto za manyoka zimekuwa kawaida na kuna siku wanakuwa wengi sn ndani baba yng anawaambia ndugu zngu msiwauwe eti mpk nije mie.yaaan ndoto zimekuwa hvyo km matukio ya kweli.
Hao si nyoka bali na roho za udanganyifu na kudhurumiwa zinaziwazunguke kama familia au ukoo.
Kuto maliza jambo ni kawaida yenu ingawa mnaliwekea mikakati na fedha mnazo.

Nitaendelea.....
 
Siyo kweli!
Kuota Simba maana yake ni uadui na shimo maana yake huyo adui ni miongoni mwa wanafamilia.
Tafsiri ya ndoto katika ulimwengu wa ndoto ni pana sana na hakuna hata ndoto moja yenye tafsiri moja ukiachana na zile ndoto maono ambazo nazo pia hazikupi kitu kamili bali viashiria...
Na kuna watu tunaweza kuongea kitu kimoja kwa njia tofauti... Mimi nimesema kifo wewe umesema uadui... Mbona ni kitu kile kile?
 
Hapana! Ukiota Simba ni uadui na shimo ni nyumbani au familia. Hakuna maana nyingine....
 
Hao si nyoka bali na roho za udanganyifu na kudhurumiwa zinaziwazunguke kama familia au ukoo.
Kuto maliza jambo ni kawaida yenu ingawa mnaliwekea mikakati na fedha mnazo.

Nitaendelea.....
Unatokaje kwenye hali hii kama umekutwa nayo
 
Hapana! Ukiota Simba ni uadui na shimo ni nyumbani au familia. Hakuna maana nyingine....
Shimo ni nyumbani au familia!? Huu ni upotoshaji wa wazi kabisa ila ngoja nikukubalie kwakuwa si vema sana sometimes kuingia kwenye malumbano
 
Shimo ni nyumbani au familia!? Huu ni upotoshaji wa wazi kabisa ila ngoja nikukubalie kwakuwa si vema sana sometimes kuingia kwenye malumbano
Acha mambo yako wewe. Unataka kila unachokiandika tukikubali tu hata kama si sshihi?. Sisi pia ni wataalam wa ndoto kushinda wewe.
 
Mkuu Mimi niliota zaidi ya mara Moja nafanya mapenzi na shemeji vipi hii imekaaje?
 
Back
Top Bottom