Hizi sio ndoto za kawaida

Hizi sio ndoto za kawaida

Yaani wewe watu wanakusifia, lakini katika post zako sijaona cha maana zaidi ya kuandika vitu ambavyo havipo kwenye reality
Unaharibu mind za watoto
Asante kwa mtazamo wako ni wazi hatuwezi kufanana kwenye kila jambo ...ila unapoona hakuna cha maana ninachoandika unachotakiwa kufanya ni kuandika cha maana! Kwa njia hii utakuwa real great thinker! BTW usihangaike kubadili ID kila wakati njoo na zile zile
 
mshana yaan mm naota ndoto nyingi sana yaan ata sielewi cha kwanza kuna kipindi naota naongea na marehem mama yangu, au mamdogo au bibi wote wamefariki yaan naota tuongea story za kawaida kama vile wapo hai nikistuka ni ndoto, cha pili kuna kipindi flan mda sana nilikua natabia ya kuota msiba yaan nipo kwenye msiba nikiamka asbh lazma ipigwe simu ya msiba kama sio jirani ni ndg yaan nikiota ndoto ya msiba asbh najiandaa kwa lolote ila sasa hivi sijaota kuna ndoto nyingine naota nimezaa mtto mchanga bada ya mwezi napata mimba yaan huwa sielewi hili somo zuri sana eb niambie ni nini
 
shunie binadamu tuna connection kubwa sana na roho za marehemu aidha kwa ubaya ama kwa wema hivyo huweza kukutokea kwenye mambo tofauti
Vilevile kuna hii ishu ya jicho la tatu (foresee phenomenon)ama maono hiki kitu unacho hebu pitia ile post yetu kule intelligence kuhusu jicho la tatu na machale utapata kitu
 
Mshana jr mie kwa miaka mingi sasa nimekuwa nikiota kuwa nimekuwa kipofu,ndoto hii inajirudia rudia sana,mkuu hii inaweza kuwa na maana gani?
 
Mshana jr mie kwa miaka mingi sasa nimekuwa nikiota kuwa nimekuwa kipofu,ndoto hii inajirudia rudia sana,mkuu hii inaweza kuwa na maana gani?
Ndoto za namna hiyo ni kinyume chake kama sijakosea kuna vikwazo vingi umevuka kwa namna ya ajabu na bila kutaraji
 
mshana yaan mm naota ndoto nyingi sana yaan ata sielewi cha kwanza kuna kipindi naota naongea na marehem mama yangu, au mamdogo au bibi wote wamefariki yaan naota tuongea story za kawaida kama vile wapo hai nikistuka ni ndoto, cha pili kuna kipindi flan mda sana nilikua natabia ya kuota msiba yaan nipo kwenye msiba nikiamka asbh lazma ipigwe simu ya msiba kama sio jirani ni ndg yaan nikiota ndoto ya msiba asbh najiandaa kwa lolote ila sasa hivi sijaota kuna ndoto nyingine naota nimezaa mtto mchanga bada ya mwezi napata mimba yaan huwa sielewi hili somo zuri sana eb niambie ni nini
Mahusiano kati ya walikufa na waliohai katika kristo sio jambo halisi na sio jambo la KIMUNGU. Katika Kristo roho ya mwili uliokufa haina uhusiano wowote na roho ya mwili uliohai.

Aliyehai anamahusiano na waliohai na kristo mwenyewe kwenye ulimimwengu huu wa walio hai na kama yapo mahusiano mengine basi ni kwenye ulimwengu wa giza. Hivyo kuendeleza mahusiano na aliyekufa ni kuendeleza mahusiano yasiyo katika kristo.

Mungu hawezi kutumia wafu kuleta habari kwa aliye hai. Lakini shetani anatumia sana wafu kuimarisha mambo yake ambayo yalikuwa yanafanywa hapo kwanza kabla mtu huyo hajafa.

Kwafano anaweza ndunguyo alikuwa mchawi, au kulikuwa na mikataba fulani ya kiukoo ambayo angependa ibaki kwako hivyo maranyingi atakuja kuongea na roho yako ktk ndoto ili kuimarisha maagano hayo.

Hilo ndilo linaitwa jeshi la wafu na shetani anatumia wafu wengi sana kuwashikilia ndugu zao katika vifungo. Nia ni wasitoke kwenye taabu au tabia au vifungo ambavyo wanavyo,na hivyo kuendeleza ushirika huo mchafu.

Kama unafikiri natania nenda kwa mtumishi aliyejaaa roho wa Mungu omba naye uone kama watarudi tena. Hata wewe jaribu muombe Mungu toba kwa kusikiliza roho za wafu. Mwambie Mungu kama kweli roho hizi zinafaida nami nazije kwa jina la yesu uone kama zitakuja.

Je pamoja na kuwasiliana nao mahusiano yako na Mungu yanaongezeka? Ukikuta hayakui piga chini maana amelaniwa mtu yule amtegemea mwanadamu na kumuacha Mungu
 
Mimi ndoto zangu nyingi ni kupaa, kuna ambazl naota nakimbizwa ila nashindwa kupaa though nahisi uwezo wa kupaa ninao ,siku zingine naota napaa vizuri sana na kwa speed ,nishawahi kuliongea nyumbani maana ni toka nikiwa mdogo kaka zangu wakaniambia usiku nikila nikashiba ndio sababu toka kipindi hicho mpaka leo hii mimi usiku sili chakula kigumu kama ugali na sili sana ila ndoto hizo hazijakomaa,huenda ikawa nini suluhu kaka maana saa nyingine zinaniacha na stress au uchovu wa kutwa nzima!?
Kingine nikiota ndoto nikashtuka na kusikia adhana ya asubuhi lazima hilo litokee siku hiyo yaani kama mabadiliko machache ila theme uwa ile ile ,hii nayo ikoje kaka !?
Lastly maisha yangu ni kama ya marudio mpaka saa zingine yananikera yaani asilimia nyingi mambo yananikuta au nakuta na mazingira ambayo akili inaniambia hili lishanitokea ila sikumbuki wapi na lini,ina isaidia hata kwenye kuamua mambo yangu saa zingine ,je nina tatizo gani kaka!?Ahsante sana
Kupaa mara nyingi ni association na roho za uchawi, either wewe unaroho ya uchawi au kinawatu wanakutumia ili upae ukafanye nao kazi.

Kemea kwa jina la Yesu hutapaa tena
 
shunie binadamu tuna connection kubwa sana na roho za marehemu aidha kwa ubaya ama kwa wema hivyo huweza kukutokea kwenye mambo tofauti
Vilevile kuna hii ishu ya jicho la tatu (foresee phenomenon)ama maono hiki kitu unacho hebu pitia ile post yetu kule intelligence kuhusu jicho la tatu na machale utapata kitu
shukrani mkuu nitapitia
 
Mahusiano kati ya walikufa na waliohai katika kristo sio jambo halisi na sio jambo la KIMUNGU. Katika Kristo roho ya mwili uliokufa haina uhusiano wowote na roho ya mwili uliohai.

Aliyehai anamahusiano na waliohai na kristo mwenyewe kwenye ulimimwengu huu wa walio hai na kama yapo mahusiano mengine basi ni kwenye ulimwengu wa giza. Hivyo kuendeleza mahusiano na aliyekufa ni kuendeleza mahusiano yasiyo katika kristo.

Mungu hawezi kutumia wafu kuleta habari kwa aliye hai. Lakini shetani anatumia sana wafu kuimarisha mambo yake ambayo yalikuwa yanafanywa hapo kwanza kabla mtu huyo hajafa.

Kwafano anaweza ndunguyo alikuwa mchawi, au kulikuwa na mikataba fulani ya kiukoo ambayo angependa ibaki kwako hivyo maranyingi atakuja kuongea na roho yako ktk ndoto ili kuimarisha maagano hayo.

Hilo ndilo linaitwa jeshi la wafu na shetani anatumia wafu wengi sana kuwashikilia ndugu zao katika vifungo. Nia ni wasitoke kwenye taabu au tabia au vifungo ambavyo wanavyo,na hivyo kuendeleza ushirika huo mchafu.

Kama unafikiri natania nenda kwa mtumishi aliyejaaa roho wa Mungu omba naye uone kama watarudi tena. Hata wewe jaribu muombe Mungu toba kwa kusikiliza roho za wafu. Mwambie Mungu kama kweli roho hizi zinafaida nami nazije kwa jina la yesu uone kama zitakuja.

Je pamoja na kuwasiliana nao mahusiano yako na Mungu yanaongezeka? Ukikuta hayakui piga chini maana amelaniwa mtu yule amtegemea mwanadamu na kumuacha Mungu
kwahyo unamaanisha nini?
 
Jana nimeota nakatwa katwa vipande vidogo vidogo then nikafukiwa chini ya bahari
 
kiongozi mm Jana nimeota tulikuwa kazin na bunduki zetu lakin mm sikua na bunduki yaan but wakatokea majambaz tukaanza kushambuliana gafra wenzangu wote wakapigwa na lisasi nikabakia mm na coplo mmoja lakin uyo coplo akawa anatetemeka anashindwa kupiga risasi sasa kuna jambaz mmoja akawa anamfuata ili amnyang'anye bunduki mm nikamnyang'anya yule coplo nikawapiga risasi majambaz wote nikawaua
 
Duu hii sijui nisemeje kwakuwa ndoto kuna wakati huja kinyume
 
Karibu Sana bro, me nilikumiss... Kuhusu hili la ndoto me huwa nna ndoto za ajabu ambazo sizipendi Kwa kweli, kwanza niliwahi kuota kifo cha mama angu mkubwa na kitatokea kweli, nikiota nipo msibani ntapata taarifa za msiba hata kama haunihusu kwa hiyo hizo ndoto zinanikosesha amani sana.... Ila juzijuzi nimeota nilikua na wenzangu tunatoka sijui ni kwenye party gani huko tulikua wasichana na wavulana, ghafla akatokea tembo akaanza kutukimbiza kwa hiyo tukatawanyika ila mpaka mwisho alikua tuu amekomaa na mimi yani hata nikiingia kwenye nyumba ya mtu yupo tuu na mimi... Mwishoni nikawa nimekimbia nimefika mbaliii na nipo peke yangu ikabidi nilale tuuu, ghafla nikaamshwa kumekucha....
 
Mara nyingi ndoto zangu hua zinatokea vilevile ila hii
Supervisor wangu mpya ni mtata sana, ila jana katika staff meeting akatangaza anauza viwanja viwili. kuna ndugu yangu anataka kiwanja nkamfuata boss tukaongea tukakubaliana.
Usiku nikaota supervisoe tumefikishana kwa boss kwa kunichongea kua sio mtendaji mzuri, baada ya mabishano ikaonekana ni ubaya wake tu boss akanielewa.
Leo nafika office, ananiita ofisini na kuniuliza kiwanja nakitaka mimi au la, nikamjibu hapana akaitikia na kuniambia kaniitia hilo tu.
Hapa sijapata majibu ya ile ndoto na lengo lake la kuniuliza kama kiwanja nataka mimi au nani, wakati yeye katangaza biashara.
Au ndoto bado haijatimia ila tukio tu limeingiliana
 
Wakuu mimi niliota nimempakia mtu kwenye baiskel halafu ilikua ni kwenye mazingira ya kijijini sana na mtu mwenyewe alikua ni mwanamke ambae sikua nna mfahamu ila pale ilikua kama ni mtu anaenihusu kwa jinsi tulivyokua tunaendelea na safari yetu lakini punde tukaona majoka mawili yote yana rangirangi tofauti moja lilikua kubwa zaidi ya jingine hili kubwa linataka kummeza huyo mdogo yakawa yanafukuzana sambamba na sisi ila nilistuka kabla sijaona hatma ya majoka hayo#mkubwa mshana tafadhali karibu kama una neno
 
1476970731953.jpg
pata full details hapo
 
kwahyo unamaanisha nini?
Namaanisha mahusiano katika ndoto kati mtu aliye hai na aliyekufaa, sio mahusiano bora kwa ustawi wa aliye hai kama aliye hai anataka kuishi kwa misingi ya KIMUNGU, lakini kama anataka kuishi kwa misingi mingine sina neno.

Kama wewe ni mwamini na unamkiri kristo kuwa kiongozi wako katika maisha, huo ni uhusiano mbaya na haukusaidii kwani utapunguza nguvu yako kumtumaini MUNGU.

Lakini pia jambo hili halitakiwi kukutisha hata kidogo, ila ni sehemu tu ya kukupa ufahamu nawewe uanze kutafuta ukweli huu ambao kama utafanya bidii baada ya muda utajua hiki nilicho kiandika.

Kimsingi hutuishi mwilini tu, tunaishi rohoni kwanza then mwilini, hivyo mahusiano ya rohoni ambayo yanaweza kuwa yanaongozwa na MUNGU au shetani kupitia wajumbe wake ndiyo huamua maisha ya mtu ya mwilini yaonekanaje, ndoto ni sehemu ya taarifa tu kuonyesha unavyo ishi rohoni.

Kwanini nimesema sio jambo la kuogopa! kwasababu watu wote tunaishi rohoni kwa msaada wa hizi nguvu mbili either Mungu au Shetani hivyo nijambo ambalo lipo tuu penda usipende, sasa mtu akiamua kuishi KIMUNGU ndoto kama hizo sio mahali pakee kwani MUNGU anazo njia zakukuletea taarifa unahisi inakufaa kuliko kutumia wafu.

Ndiyo maana nikasema ni jambo la maamuzi kidogo na sio la lazima kwani linahitaji utashi wa mtu mwenyewe ili ujiweke kwenye nafasi ya kukataa hizo ndoto, yawezekana unajisikia faraja kuota hivyo, na kwa kiasi furani moyo unafarijika ukihisi umeongea na mtu uliyekuwa unampenda tena sana, hivyo sio rahisi leo mtu anakwambia kemea ni uhusiano mmbaya, unahitaji tafakari na kuona huo ubaya ninao usema. Ukitaka kuwa upande wa MUNGU tafuta maarifa utajifunza vitu vingi kupitia ndoto, vipo vitabu vinauzwa mitaani vya kidini lakini, pia ukipita kwenye mitandao kuna elimu nyingi ya ndoto na utajifunza sana.

Ukipata maarifa ni rahisi kushinda kila kitu, na ni rahisi kuamua uwe upande upi
 
Asee mkuu Mimi kila usiku lazima niote moments za shule ya msingi wakati mwaka wa pili huu sijakamata daftari ila usiku ndotoni nipo zangu primary afu walimu kila siku wanabadilika Mara walionifundisha O'level au A'level . hii sijui nini maana yake
Watu wengi sana wanaota wako shule tena za kiwango cha chini kuliko ukweli wa elimu yao ya sasa, mtu ana masters au hata phd lakini anaota yupo shule ya msingi. maana halisi ya ndoto hii nikuwa unakiwango kidogo cha maarifa ya kiroho juu ya jambo fulani.

Kumbuka binadamu anaishi rohoni tena mwilini, unasoma rohoni na unasoma mwilini, elimu nia yake ni kuongeza maarifa, hivyo ukiongeza maarifa mwilini unasonga mbele kidato hadi kidato, lakini ukifeli kwenye elimu ya kawaida unabaki hapohapo huwezi vuka kidato kingine.

Rohoni hivyohivyo kuna maarifa unatakiwa uwenayo na uipate ndiyo usonge mbele, kwahiyo rohoni kuna darasa la kwanza hadi profesor na lazima usome na upate maarifa ikusaidie kusongo mbele, ukiota upo darasa la tatu na huko mwilini una masters maana yake ni kuwa rohoni upo darasa la tatu hivyo baadhi ya changamoto za maisha huwezi tatua kwa kuwa unamaarifa kidogo.

sasa fuatilia hiyo ndoto vizuri na endelea kumuomba Mungu akusaigie uvuke, na maranyingine Mungu atakuapa hata mtihani ili ufanye na ufaulu, sasa ni wewe kujiweka kwenye ufahamu wa kujua uko shule na kujibidiisha kutafuta maarifa ya kimuungu ili ufaulu.

Naa degree ya rohoni in nguvu mara infinity kwenye degeree ya mwili, ndiyo maana mtu unaota uko darasa la saba lakini unamaisha tu ya maana na unashanga ungepaje mali hizo na elimu ya darasa la saba na hizo presentaion nzitonzito unazofanya na watu wanakutegeme na kukusifia?

Aliyevizuri kwenye maarifa ya rohoni yuko mbali sana weather amepata kwa shetani au kwa Mungu, mtoto wa mika 4 anaweza kulogo na mtu mzima akafa hiyo ni maarifa ya rohoni, asienda shule anaweza shuka kuzimu akapata maarifa akawatajiri na akaajili mwenye phd hiyo ni maarifa ya rohoni. hivyo hivyo mtu wa MUNGU anaweza kupata maarifa hizo na akawa mbali sana.

Soma na endelea kutafauta maarifa za rohoni ukimshirikisha Mungu utaona mabadiliko na ndoto pia zitabalika.
 
Back
Top Bottom