Hahahahaaa we ushauri wako hata siutaki asee kwasababu zifuatazo,
Mbona nasikia snowhite in real life ni 'malkia wa nyuki' na anaishi muscat?Hahahahaaa we ushauri wako hata siutaki asee kwasababu zifuatazo,
Sitaki kuamka asubuhi na kuanzakujiuliza kama nimsalimie habari za asubuhi au "SHIKAMOO"
Sitaki kubadilisha majina yangu kutoka yale niliyonayo sasa na kuitwa "MARIO" au "SERENGETI BOY"
Sitaki kuwa na mawazo ya kama leo atapata katoto zaidi na akaanza kufikiria MKATABA tulionao,
Na inakuwaje pale mi nitakapokutana na kale nitakakokadondokea?
Haya kwa ufupi ushauri wako siutaki baki nao mwenyewe.........
CC snowhite
ahahahahhaha acha uoga partner!Asante sana partner,
Niandalie za Nazi za karanga si unajua tabu yake?
Ntapitia partner ondoa shaka
sijui naruhusiwa kumchagulia??partner achana na Bishanga!
pole kwa baridi!
pole kwa kukosa kikomba cha gahwa!
vipi,nikuandalie utapitia?
na kashata za nazi au karanga?
We nae gfsonwin,juu ya nini unapotea hivi?sijui naruhusiwa kumchagulia??
muandalie za karaga na kahawa ya tangawizi.
kisha umpe uji wa pilipili manga aitupe baridi mkono.
taa mnunulie kandili mtilie mafuta,
na kalaptop mwazime yako imliwaze ama si ndo upatna tena huu??
Mburaaaa!sijui naruhusiwa kumchagulia??
muandalie za karaga na kahawa ya tangawizi.
kisha umpe uji wa pilipili manga aitupe baridi mkono.
taa mnunulie kandili mtilie mafuta,
na kalaptop mwazime yako imliwaze ama si ndo upatna tena huu??