Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,836
ikumbukwe serikali ya muungano haina vyanzo vya mapato vya uhakika na inawizara nyeti. Je itawezaje kujiendesha?Serikali 3 zilizoboreshwa zitatufanya tuwe na misingi ya taifa moja lenye serikali ndogo 2
Vile vile kiuliulinzi raisi ya muungano atakuwa hana nguvu.
Mimi ninapendekeza serikali moja. Na kuwe na magavana bara na visiwani. Hii itaepusha mgongano wa kiutawala. Kuwe na bunge moja tu la muungano na madiwani ndio wawe watendaji chini ya gavana. Hii itapunguza ghara za uendeshaji.