KIPANYA
Member
- Jan 3, 2011
- 61
- 2
Mkubwa mi nashindwa kuelewa filamu zetu za kibongo, naona wasanii wetu hawachezi filamu bali wanafanya maigizo sababu hazina hualisia kabisa kama maigizo, utakuta msanii anaongea na simu lakini sauti haipo kwenye mfumo simu kabisa au utakuta msanii wamelaa, ghafla asubuhi wameamka, muda kidogo yupo ofisini,mara yuko hotelini yaani hazina uhalisia kabisa yaani. je tunacheza filamu au maigizo?