Hizi fomu za ku update information za accounts zinaboa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hizi fomu za ku update information za accounts zinaboa!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by M'Jr, Mar 14, 2012.

 1. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #1
  Mar 14, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Dah kama mwezi umepita sasa tangu nijaze fomu ya ku update information ya akaunti yangu ya CRDB, nikajua nimemaliza kumbe kha! Leo tena nimeletewa fomu nyingine ina madudu ya kujaza kibao kama nafungua akaunti mpya au natafuta mkopo wa loan board bhana!
   
 2. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #2
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Weka fedha zako chini ya godoro usumbufu uishe.
   
 3. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #3
  Mar 14, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Umeona eeeh
  CRDB na NMB hazina usumbufu hata kidogo
  hebu njoo NBC kha mpaka Mwenyekiti wa mtaa akusainie sijui vitu gani
  Sijui attach copy ya salary slip ,kitambulisho ,barua ya mwajiri
  Customer care yenyewe hakuna …yaani mie niliboreka vya kutosha
   
 4. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #4
  Mar 14, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Pole Musimo Jr...
  Jaza tu hivyohivyo... Ili waupdate....
   
 5. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #5
  Mar 14, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Halafu ntakupa wewe kazi ya kuzilinda mamy........advice taken
   
 6. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #6
  Mar 14, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Dah hiyo ya NBC hata sijui kama bado iko activated maana niliachana nao siku nyingi... kwanza wamejaa wazee watupu na kila kitu chao cha kizamani
   
 7. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #7
  Mar 14, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,069
  Likes Received: 6,529
  Trophy Points: 280
  hamieni benki ya makabwela.
   
 8. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #8
  Mar 14, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Kwani mshahara umeingia?
  Mie huwa naenda huko mara moja kwa mwezi
   
 9. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #9
  Mar 14, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Hahahahaaa haya next time ukienda utakuta mtu mwingine ndo anatumia account yako
   
 10. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #10
  Mar 14, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  mbona me a/c yangu ya Nbc waliniambia sihtaji tena kuiupdate cz haikua na mapungufu yoyote,au inakuaje hapo mdau?
   
 11. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #11
  Mar 14, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Tabu sio kama haina mapungufu ama la ila sheria ile iliyopitwa hivi karibuni na Bunge ya fedha haramu ndio inawalazimisha wateja wote, nikimaanisha wote ku update information zao so check vizuri na bank yako
   
 12. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #12
  Mar 14, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Msilaumu mabenki walaumu BOT aliyewatuma
   
 13. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #13
  Mar 14, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  BOT nao wanafuata sheria tu so labda walaumiwe waliotunga sheria
   
 14. Zeddicus Zu'l Zorander

  Zeddicus Zu'l Zorander JF-Expert Member

  #14
  Mar 14, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 571
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 60
  Ili swwla hata mimi linanichanganya, nilienda NBC kuwauliza wakaniomba account namba wakacheki halafu wakasema aina shida hivyo sihitaji kuupdate MERU BRANCH ARUSHA.
   
 15. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #15
  Mar 14, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Unajua basically ni usumbufu tu kwasababu wakati mtu anafungua account anakuwa na vitu vyo te vinavyotakiwa sasa sijui wanachotaka ni nini tena hawa watu
   
 16. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #16
  Mar 14, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,750
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Heri mimi sina bank account na bank yoyote.
   
 17. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #17
  Mar 14, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  We una zile akaunti za bank ya simu eeh?
   
 18. T

  TumainiEl JF-Expert Member

  #18
  Mar 14, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 2,890
  Likes Received: 1,647
  Trophy Points: 280
  First Ledy hayo huyasemayo sio kweli, embu toa uthibitisho,maana kwa taarifa yako ktk ma bank yote NBC,NDIO BANK INAONGOZA KWA KYC, IWEJE LEO WAWE WASUMBUFU? Plz let me know this.
   
 19. T

  TumainiEl JF-Expert Member

  #19
  Mar 14, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 2,890
  Likes Received: 1,647
  Trophy Points: 280
  Umeona Eee! First Ledy katumwa namashaka. Nenda hata BOT, NBC WANATISHA KWA KUTUNZA TAKWIMU NA SIRI ZA WATEJA WAKE.
   
 20. T

  TumainiEl JF-Expert Member

  #20
  Mar 14, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 2,890
  Likes Received: 1,647
  Trophy Points: 280
  nbc wapo makini sana nakwambia, amin au usiamini,
   
Loading...