Hizi fomu za ku update information za accounts zinaboa!

Nilazima watanzania wajuwe hili. Kumbuka hili zoezi litakuwa na faida kubwa sana ktk uchumi wa nchi.
 
mbona me a/c yangu ya Nbc waliniambia sihtaji tena kuiupdate cz haikua na mapungufu yoyote,au inakuaje hapo mdau?


kama ilikuwa na informations zote wanazohitaji na kama umefungua miaka michache iliyopita na ulitumia majina yote matatu sawa ,lakini kama umefungua miaka ya 2000 na info zinapungua inakupasa u follow new process kha.
 
Nilazima watanzania wajuwe hili. Kumbuka hili zoezi litakuwa na faida kubwa sana ktk uchumi wa nchi.

faida zipi?
na kama walijua hivo mbona hawajatumia hata vipeperushi,TV redio kutwambia..unaenda bank ndo unakutana na haya mambo
 
mi naona tunajizonga wenyewe tu, lkn kila kitu kiko wazi!
Au nyinyi hamjaona ile barua ya BOT ilivojieleza? Kwa wateja waliofungua account 2007 kwenda nyuma, na ktk hao ikiwa mteja file lake liko sawa haina haja ya kupeleka chochote tena bank.
Updating maana yake ni kuwasilisha new information zako bank kwa sababu mabadiliko yanatokea kwa customers bt hawapeleki taarifa bank.
Kuna wengine wako njje ya nchi kwa sasa lkn hawakuwahi hata kutoa taarifa km wanabadilisha address zao, sasa hapo kweli tutalaumu bank au na sisi wenyewe hua tunachemsha???
 
Eti money laundering! Tunaendelea na michezo ya kuigiza...tunafurahia kujidanganya wenyewe
 
Eti money laundering! Tunaendelea na michezo ya kuigiza...tunafurahia kujidanganya wenyewe
Umeona eeh, watu badala ya kufanya mambo ya maana wanakazania vitu vya kipuuzi puuzi tu
 
Back
Top Bottom