Humu CC ni lazima uwe na Mke au Mume.
We unae?
Kama huna nitakufanyia udalali utanipa sh ngapi gobore?
FP nakuona......mi nimeamua kujinyamazia tuPole sana Ciello rafiki, maadamu miss Madame B limemfikia hili shaka ondoa, utapata soon.
Kwa tip tu, unaweza kucheck na Erickb52 alikuwa anataka kuongeza mke, au mchumba wangu TANMO yupo kwenye maandalizi ya ndoa, anaweza akaunganisha akaoa 2 kwa mpigo....... ila kuhusu huyu TANMO muulize pia my sweetie wii sweetlady kama atakubali kuwa na ma wiii wa2
Nitakutumia picha yake
Nitakutumia picha yake
Nitakutumia picha yake
hapa sina koment manake..................Umfanyie ukaguzi na kisha muache aende maana wewe ni fataki,ucje haribu mwili wake bure.
haya tunasubiri majibu ya ukaguzi
nahisi atakuwa amenenepa kama kitunguu
hapa sina koment manake..................
Hahahahaaaaa babu kawekwa stooo mahaliTuma tumuone.
Kama mumeo mtarajiwa kapotea kwanini unahangaika kuumiza kichwa FP ?usinyamaze my dear, sema tu. au wewe unaweza kuwa my best friend, unalionaje hilo? nitazungumza na mume mtarajiwa ambaye kapotea kabisa TANMO kuhusu hili, na wewe ongea na wake zako kama watakubali