HiY

HiY

hapo kwenye RED pamenipita, mweeeeeeeeeeeeeee.............. sijui hata umemaanisha nini, lol

Ha ha ha ha ha,
We nawe mpekuzi,
Mpaka umepaona.
Mwenyewe nilikuwa nimejimaliza hapo.
Namaanisha Kupelekana.
FP lol.
 
Last edited by a moderator:
siamini nimeitwa domo zege, FP na Madame B mnitake radhi coz maujuzi yenyewe hamtaki kunipa hafu mnaniponda.nimesikitika sana, nimedhalilika sana.....
 
Last edited by a moderator:
Karibu.
Una Patna?
enh aseme kabisa mapema sio baadae oh mi nimeshaoa au nimeshaolewa mambo ya kubaroliwa akhu ,huku hamna polisi jamii unadhani watu watasingizia nini!akha
karibu ukaribie
uchukue kiti ukalie
 
siamini nimeitwa domo zege, FP na Madame B mnitake radhi coz maujuzi yenyewe hamtaki kunipa hafu mnaniponda.nimesikitika sana, nimedhalilika sana.....

Shoga acha mapepe.
Sio wewe,anaambiwa huyo mgeni.
Anawayawaya tu.
 
Last edited by a moderator:
enh aseme kabisa mapema sio baadae oh mi nimeshaoa au nimeshaolewa mambo ya kubaroliwa akhu ,huku hamna polisi jamii unadhani watu watasingizia nini!akha
karibu ukaribie
uchukue kiti ukalie

Tena aseme kwa Tuo.
Na anene yaliyomo tuoni.
 
mwenzangu, naona hajajitokeza anayejisikia kusutwa, lol

Yani shoga hapa nilipo Mdomo unaniwasha,
Mwili unaniwasha.
Hata wa kujichanganya.
Ila kulee kuna Mtambuzi,twende zenu,yanini ampandie Mama Ngina wakati hata mshono haujakauka.
Twen zetu.
 
Last edited by a moderator:
wallah nafc inaniuma yani dogo Dennize mnamkaribisha mnamtafutia patna,mbona mie ckufanyiwa hivyo ? Huu si usawa FP Madame B mnahusika kujibu ,yaan hapa nilipo nimenuna !!

kumbe maskini haukupewa patna? pole sana ila ulikuja kipindi kungwi niko bize sana,
sasa lazima upitie ukaguzi kwa Asprin kisha ndo upate patna na makungwi wa jamvi hili yaani cacico, FP snowhite sweetlady lazima tukufunde upo na hapo ujue kabisa tunaanza kazi hiyo soon.
 
msisitizo ni kuwa ukungwi unaanza tu pale mkaguzi akishakamilisha ukaguzi na kujiridhisha..............
salama mamito?
 
msisitizo ni kuwa ukungwi unaanza tu pale mkaguzi akishakamilisha ukaguzi na kujiridhisha..............
salama mamito?

mzima kabisa mpenzi wangu wa moyoni.

haya ngoja nimwite mkaguzi aje amalize kazi yake weeee Asprin njoo huku kuna mjukuu anataka ukaguzi anaitwa Ciello pulizzzzzzzzzzzzz come haraka mwache huyo cacico kwanza.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom