HiY

HiY

mzima kabisa mpenzi wangu wa moyoni.

haya ngoja nimwite mkaguzi aje amalize kazi yake weeee Asprin njoo huku kuna mjukuu anataka ukaguzi anaitwa Ciello pulizzzzzzzzzzzzz come haraka mwache huyo cacico kwanza.
kumbe yupo na cacico! kwa kukaba yule hajambo. yaani tuweke na mkeka kabisaaaaaaaaaaaaaaaa maana huyo mkaguzi haji saa hizi
 
Last edited by a moderator:
jamani mamii gfsonwin huo ukaguzi bac nimeshapata patna!waambie makungwi wenzio mwali kashaiva.
wewe umekaguliwa na nani? lol!................. Asprin hebu kuja hapa tuambie umeshamkagua huyu? hatuvushi kitu hapa jamani.
 
Last edited by a moderator:
mkuu leta kipima joto tuone kama damu yake ina chemka halafu usisahau ile love mita tuone digirii yake ya mashamsham...

vibration gauge yake wataka uikague, lol! Watu mdogo wangu mabvu sina, ila sasa hapo kwenye upendo meter Kongosho ndo anapaweza
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom