Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,554
- 11,486
Last edited by a moderator:
Hahahaaa mimi sina kesi nilishaongea na Ruttashobolwa akanisaidia kuzifuta zote
Hao bodigadi wako hata hawana lolote wakituona wanaanza kurembua utadhani wanausingiizi kumbe uchu wa kuwa na sisi lol hata hawatakumbuka kuwa wanakulinda wewe
Hahahaaa kule nshahamaga longtimeNakujua sana tena mpaka unapoegesha mbavu napajua.
Heheheheee hapa ndio mambo yote meeen hakuna kuwaza watoto wala mke mambo yote kwenye touch Madame B
Hahahaaa kule nshahamaga longtime
Please don't askKwani :ban: sh ngapi?
he he heeeeeeeeeee, yaani hatuogopi cha mod wala nani, ukileta za kuleta unasutwa tuHehehehee FP naona mna hamu ya kulambwa ban eeeh?
Hebu jaribuni kunisuta muone itakavyokula kwenu...yan ban ya wiki nzima itawahusu kwa mpigo hadi jukwaa la chutchat lifungwe