Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
umeona eeh! eti anaringia umodereta, kwani sisi tunaangalia makunyanzi? lol!
umeona eeh! eti anaringia umodereta, kwani sisi tunaangalia makunyanzi? lol!
umeona eeh! eti anaringia umodereta, kwani sisi tunaangalia makunyanzi? lol!
Wanipoteze wakati nitakuwa na ma-Bodyguard wangu akina The secretary na AmKATRINA bila kumsahau Mama Ngina?
Afu unakumbuka kama nina kesi na wewe?
Wewe na Nicas Mtei,
au mnajifanya mmesahau.
au hajui wewe ni nani mitaa hii?Namshanga,
Sie wenyewe Mamodereta asituletee uzuri wa mkakasi hapa.
hanijui ati! Erickb52 unapatikana?
au hajui wewe ni nani mitaa hii?
Wanipoteze wakati nitakuwa na ma-Bodyguard wangu akina The secretary na AmKATRINA bila kumsahau Mama Ngina?
Afu unakumbuka kama nina kesi na wewe?
Wewe na Nicas Mtei,
au mnajifanya mmesahau.
hvi kumbe bdo unataka kulipiza kisas? Umekuwa disiyai Manyumba?
Atakuwa disiyai Mafremu.
Erickb52 kwanza awali ya yote napenda nikutoe hofu kuwa mimi mzima na Kitchen Party yangu ni Jmosi hii.
FP ndio Mpambe wangu,
gfsonwin ni Kungwi wangu,
Mamndenyi ni MC
snowhite, charminglady, mwaJ,
King'asti,
sweetlady,
FirstLady1,
beibe nasty,
Kijino,
Ciello,
Blaki Womani,
marejesho,
Kongosho,
AshaDii,
Preta,
Arabela,
LARA1,
Graca na
measkron ndio wajaza Ukumbi.
Sasa tangu lini Mpambe wangu akanipa sumu?