HiY

HiY

Kwanza hata yeye nahisi ataniharibu buree natamani kuahirisha ukaguzi
Ngoja niwasiliane na platozoom aje amkague!
Halafu Madame B nahisi kama umenyweshwa sumu na kamtu kamoja kanaitwa FP ni kweli?

Erickb52 kwanza awali ya yote napenda nikutoe hofu kuwa mimi mzima na Kitchen Party yangu ni Jmosi hii.
FP ndio Mpambe wangu,
gfsonwin ni Kungwi wangu,
Mamndenyi ni MC
snowhite, charminglady, mwaJ,
King'asti,
sweetlady,
FirstLady1,
beibe nasty,
Kijino,
Ciello,
Blaki Womani,
marejesho,
Kongosho,
AshaDii,
Preta,
Arabela,
LARA1,
Graca na
measkron ndio wajaza Ukumbi.
Sasa tangu lini Mpambe wangu akanipa sumu?
 
Last edited by a moderator:
AshaDii,
ndio wajaza Ukumbi.
Sasa tangu lini Mpambe wangu akanipa sumu?

Madame B dear... Hii kazi umenipa ya kujaza ukumbi NIMEGOMA! Nitashiriki vipi kwenye sherehe yako bila kuwajibika lolote?

Dennize karibu sana JF na ujisikie upo sehemu ya kukutia amani wakati woote. Naona una pages za wapokeaji... Pamoja sana.
 
AshaDii mummy,
Sipendi nikuchoshe na vikazi vya hapa na pale.
Maandalizi yote yameshafanyika tangu Awali.
Hvyo ninyi mtawasili ukumbini na zawadi zenu tu.
 
Last edited by a moderator:
AshaDii mummy,
Sipendi nikuchoshe na vikazi vya hapa na pale.
Maandalizi yote yameshafanyika tangu Awali.
Hvyo ninyi mtawasili ukumbini na zawadi zenu tu.

hahaha! Haya Asante... Utume memo ya zawadi unahitaji, niseje leta ikawa duplicate.
 
Erickb52 kwanza awali ya yote napenda nikutoe hofu kuwa mimi mzima na Kitchen Party yangu ni Jmosi hii.
FP ndio Mpambe wangu,
gfsonwin ni Kungwi wangu,
Mamndenyi ni MC
snowhite, charminglady, mwaJ,
King'asti,
sweetlady,
FirstLady1,
beibe nasty,
Kijino,
Ciello,
Blaki Womani,
marejesho,
Kongosho,
AshaDii,
Preta,
Arabela,
LARA1,
Graca na
measkron ndio wajaza Ukumbi.
Sasa tangu lini Mpambe wangu akanipa sumu?
Umeona eeh! yaani huu ni pure uchonganishi, lol! Erickb52 njoo ujibu hoja huku
 
Last edited by a moderator:
We wacha longolongo umenitafuta wapi Erickb52 wakati kila siku unaombea nisionekane uendelee na majungu yako Kaizer anaumwa ugonjwa wa upungufu wa sex mwilini so anahangaika kupata dawa sijui mke wake yuko wapi
Hahahahaaa Mr Rocky mwambie huyo Kaizer awasiliane na King'asti anataka kufundishwa kujamiiana lol yuko na wenzake kama saba hivi so naomba utaenda nae kumsaidia kipindi ya Practical coz atazidiwa sana
 
Last edited by a moderator:
Erickb52 kwanza awali ya yote napenda nikutoe hofu kuwa mimi mzima na Kitchen Party yangu ni Jmosi hii.
FP ndio Mpambe wangu,
gfsonwin ni Kungwi wangu,
Mamndenyi ni MC
snowhite, charminglady, mwaJ,
King'asti,
sweetlady,
FirstLady1,
beibe nasty,
Kijino,
Ciello,
Blaki Womani,
marejesho,
Kongosho,
AshaDii,
Preta,
Arabela,
LARA1,
Graca na
measkron ndio wajaza Ukumbi.
Sasa tangu lini Mpambe wangu akanipa sumu?
Heheheheee kwani kungwi hana sumu?
Hukumbuki lile tangazo la SIPIYU la haki elimu? Huoni yule mwalimu alikuwa anawapa sumu wanafunzi? Hehehehee gfsonwin na FP watakupoteza aiisee
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Kaizer anaifahamu hiyo issue ila kaambiwa na King'asti asitie pua huko maana haimhusu
Ndo maana Kaizer anazunguka kutafuta tiba mbadala
King'asti alinipa kazi ya kumfundisha kujamiiana ila nimekomaa nae wiki ya pili sasa hata haelewi kabisa nashangaa ni kwanini tena eti theory anaelewa sana ila tukienda kwenye practical anashindwa kuelewa sasa sijui ndio ujanja wa kuendelea na masomo kwa muda usiojulikana Dah
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Wanipoteze wakati nitakuwa na ma-Bodyguard wangu akina The secretary na AmKATRINA bila kumsahau Mama Ngina?
Afu unakumbuka kama nina kesi na wewe?
Wewe na Nicas Mtei,
au mnajifanya mmesahau.
Hahahaaa mimi sina kesi nilishaongea na Ruttashobolwa akanisaidia kuzifuta zote
Hao bodigadi wako hata hawana lolote wakituona wanaanza kurembua utadhani wanausingiizi kumbe uchu wa kuwa na sisi lol hata hawatakumbuka kuwa wanakulinda wewe
 
Last edited by a moderator:
King'asti alinipa kazi ya kumfundisha kujamiiana ila nimekomaa nae wiki ya pili sasa hata haelewi kabisa nashangaa ni kwanini tena eti theory anaelewa sana ila tukienda kwenye practical anashindwa kuelewa sasa sijui ndio ujanja wa kuendelea na masomo kwa muda usiojulikana Dah

nataka mtengeneze tamthilia kama wale jamaa wa kwenye movies aje ajiangalie achambue makosa na mapungufu Erickb52 kazi unayo na bado Kaizer ana sehem yake ya practical
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom