Hivi yule anayelia kwenye tangazo la "Wamekataaa" anazungumza nini?

Ebana mi hilo tangazo nalimaind sana, *wamentumia ada ya shule, wamekataaa!!* huwaga nacheka sana! Imagine umetumiwa elfu 75 ukalipe ada, alaf inakatwa buku! Daaaah!
 
Mimi huwa linanikera pale yule mtoto wa shule anavyodeka natamani ningekuwa karibu yake nimzabe vibao.
 
Wanawadanganya watumiaji wao maana lazima itakuwa analipishwa alietuma ili wewe upokee ikiwa nzima!!la sivyo itakuwa promotion ambayo walitakiwa kutaja muda wa promotion!!
 
Tuache kubana jamani lile tangazo ni 1 of the best, creativity iliyotumika pale kwa wamekaaaaa ni ya hali ya juu jamaa kavaa uhusika na kuna sense ya comedy so hapohapo unacheka hapohapo ujumbe umefika
Big up airtel lakini sihamii!
 
Wamekataaaa!!!!!
Ha ha ha ha!!
Hamna tangazo linalonipa raha kama hilo, kila likipiga linanikuta njiani kwenda kibaruani basi nacheeeka!!...
 
mimi natamani sauti ya yule dada na mwenyewe pia..this what they call 'fettish'..
 
nalipenda saaaaaaaana...mno! Pale anaposema...WAMEKATA..HAIWEZEKANI!...Nacheka saaana!
 
Mimi huwa linanikera pale yule mtoto wa shule anavyodeka natamani ningekuwa karibu yake nimzabe vibao.

Hahahahah!! Amezidi kulia mi hata sijui anasema nini nasikia tu wamekataaaa.....

Tangazo ninalolipenda ni lile la mwanadada anapigwa kisha 'sio hivyo baba kimoko...' Sasa baba kimoko imekaa kama 'kimoja' na hapa JF naona kuna baba kimoko...linanichekesha sana hilo jina
 
hilo tangazo haliniboi kama matangazo ya magodoro yaliyo kwenye TV stations, linaanza la Comfy (ambalo mdada aliyevalia nguo ya bluu anapoozwa na rushwa ya godoro "halisi" la Comfy, likifuatiwa na la yule bidada Fifi so called Kisura la magodoro ya Vita Raha, Supreme n.k (ambaye anaongea Kiswahili kibovu,ati kila king'aricho si dhahabu) what the hell is that? yananiboa mnoooooo....
 
Back
Top Bottom