Hivi yule anayelia kwenye tangazo la "Wamekataaa" anazungumza nini?

Hapana!! Kulichukia tangazo kunaeza kukupelekea kuichukia product or service...

kama ni hivyo basi ungeichukia hiyo product hata kabla ya tangazo.... Kwangu mimi naichukia au kuipenda product kwa zile 4P......... Place (sehemu inakozalishwa tolewa na hatimaye kuuzwa, Product (Ubora), Price (gharama zake zikoje ukilinganisha na ubora) na Packaging (inafungwaje etc). Siwezi kuacha kukipenda kitu kwa sababu ya tangazo wakati nafurahia ubora, bei, mahala kinapozalishwa na kuuzwa etc etc....
 
mi huwa napenda yule anayesema nimetuma pesa kwa baba mwenye nyumba wamekata
 
Back
Top Bottom